Ahongwa bilioni 2.3 na bilionea wa Bitcoin

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
DADA AHONGWA MPAKA SERIKALI YAINGILIA KATI

Mahakama ya kupambana na Rushwa Nchini Kenya, imeagiza account ya bank ya Mwanafunzi wa chuo cha Ufundi Nairobi. Felesta Njoroge (21) Ifungwe kwa siku 90 ili kuruhusu wakala wa urejeshaji mali (ARA) kufahamu chanzo cha Tsh Bilion 2.3 zilizopo kwenye akaunti hiyo.

Fedha hizo zilitumwa kwenye account ya Felasta kama zawadi kutoka kwa Mpenzi wake Bilionea wa Bitcoin Merc De Mesel ambaye anaishi Ubelgiji, kupitia miamala minne kati ya August 4 na 6 Mwaka 2021.

Ofisi ya Wakala ya urejeshaji mali (ARA) ilihisi kuwa fedha hizo ni matokeo ya utakatishaji wa fedha, hivyo ikaomba account ifungwe kwa uchunguzi zaidi.

FB_IMG_1638534727174.jpg
 
Pole sana dada kama ulipoteza bikra ukiwa darasa la saba A, kwanini upate stress baada ya kuona uzi huu.
Una tabia za kingese wewe choko laana,muda wote unawaza kugongwa,what if nimepata stress baada ya kuona mwanaume mwenzangu anatuma pesa mingi kwa mdada ambazo nina uhakika mpaka naingia kaburini sitaweza kuzipata!!!?Jiheshimu bro
 
Huyu Mzee ovyo sana
 
We lizeee punguza stress white colour sip wewe mwenye vijisenti
 
Ukiwa masikini wala hutoona serikali ikiangaika kukuuliza chanzo cha umasikini wako.

Ila punde tu utakapopata utajiri utaona serikali itakavyo anza kukughasi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ajabu kweli yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Una tabia za kingese wewe choko laana,muda wote unawaza kugongwa,what if nimepata stress baada ya kuona mwanaume mwenzangu anatuma pesa mingi kwa mdada ambazo nina uhakika mpaka naingia kaburini sitaweza kuzipata!!!?Jiheshimu bro
Swali langu lilikua kwanini umuonee mwanamke mwenzako wivu, yote haya yametoka wapi binti?
 
Dada awapeleke na maafisa wakapelekewe moto na bilionea wa bitcoin ili akaunti zisome
 
Back
Top Bottom