Wachezaji wote wa Yanga wameshaonesha ubora na viwango vyao dhidi ya wapinzani waliokuwa kwenye ubora. Huyo Ahoua kacheza vs APR, Vs Yanga, vs Coastal na kila mmoja alitoa maoni kuwa Simba bado haijapata mtu sahihi. Ila kuifunga timu zenye udhaifu ndio mnabadilisha nyimbo. Ngoja muda utasema mbeleni