Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Wachezaji wote wa Yanga wameshaonesha ubora na viwango vyao dhidi ya wapinzani waliokuwa kwenye ubora. Huyo Ahoua kacheza vs APR, Vs Yanga, vs Coastal na kila mmoja alitoa maoni kuwa Simba bado haijapata mtu sahihi. Ila kuifunga timu zenye udhaifu ndio mnabadilisha nyimbo. Ngoja muda utasema mbeleniAhoua mmoja sawa na Yanga nzima