Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
- Thread starter
- #21
Maisha yanabadilika Mkuu. Haya maisha ya kuamini timu pinzani ni ile ile ni moja ya Sababu ya Yanga kuwa bora zaidi ya Simba miaka mitatu iliyopita.Sajili za makolo huwa ni za mihemko tu ngoja ngoma ianze tutayaona yale yale ya kina Fred na Jobe!
Nafasi ya tatu ndio inapendeza zaidi kolokoloni kwasasa!
Wakati unajenga timu, wengi waliamini Yanga ni ile ile ya kina Sarpong, tunakuja kushtuka Yanga unatimu bora sana. Kuja kuamka usingizini ni too late.