GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Utakuwa huna akili ukimlaumu Mpanzu.Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)
Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu wamalize Shughuli.
Mpira wa Faulo alioupiga Ahoua haikuwa lazima apige Yeye kwani alipiga Kitoto mno na haukuleta madhara yoyote na kusababisha Sisi Kushambuliwa.
Simba SC tukifungwa hii Mechi lawama zangu zote 75% nazipeleka kwa hawa Wachezaji Wawili ambao kiukweli wanacheza Kibinafsi zaidi pasipo kushirikiana na Wenzao ili Timu ishinde.
Kafanyaje mwamuzi?Utakuwa huna akili ukimlaumu Mpanzu.
Hapo tatizo ni mwamuzi
Kacheze wewe basi kama ni rahisi hivyo la sivyo piga kimya nyang'au wewe 🙁🤫🤫Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)
Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu wamalize Shughuli.
Mpira wa Faulo alioupiga Ahoua haikuwa lazima apige Yeye kwani alipiga Kitoto mno na haukuleta madhara yoyote na kusababisha Sisi Kushambuliwa.
Simba SC tukifungwa hii Mechi lawama zangu zote 75% nazipeleka kwa hawa Wachezaji Wawili ambao kiukweli wanacheza Kibinafsi zaidi pasipo kushirikiana na Wenzao ili Timu ishinde.
Simba tuna kikosi kipana hatuwategemei hao tu.Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)
Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu wamalize Shughuli.
Mpira wa Faulo alioupiga Ahoua haikuwa lazima apige Yeye kwani alipiga Kitoto mno na haukuleta madhara yoyote na kusababisha Sisi Kushambuliwa.
Simba SC tukifungwa hii Mechi lawama zangu zote 75% nazipeleka kwa hawa Wachezaji Wawili ambao kiukweli wanacheza Kibinafsi zaidi pasipo kushirikiana na Wenzao ili Timu ishinde.
Pumbavu.Utakuwa huna akili ukimlaumu Mpanzu.
Hapo tatizo ni mwamuzi
Hao kubadilika ni ngumu sababu walisajiliwa Kwa style Hy ya uchezajiKocha wa simba asipoongea na wale wachezaji wake wanne pale mbele kaz mnayo ahoua kibu ateba na mpanzu hawachez kitimu kila mtu ana mipango yake
We ndio unajua mpira,Wachezaji wasimba ni wabinafsi sana,halafu mazuzu pia,mwenzao kachezewa faulo eneo la kumi na nane sio wamzonge refa ili waangalie kwenye VAR, yenyewe wala hayana taimu yapo kama massengeeWanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)