Ahsante Barnaba kwa kumtendea haki Izzo Bizness, hakika wewe ni mwanamuziki

Saitot

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
613
Reaction score
152
Nimetizama video ya wimbo love me , hizzo bisness akimshirikisha barnaba sina budi kusema , ulikuwa na haki ya kumuweka barnaba boy, kwa kweli katenda haki , daah no comments !!
 
Nimetizama video ya wimbo love me , hizzo bisness akimshirikisha barnaba sina budi kusema , ulikuwa na haki ya kumuweka barnaba boy, kwa kweli katenda haki , daah no comments !!

Asante kwa taarifa lakimi anaitwa Izzo sio ""hizzo"" ila tumeelewa ucjali mdogo wangu
 
yaan iyo nyimbo kila mmoja kacheza nafasi yake!! naipenda sana
 
Tht chini ya wafu fm na misukule yake mpo kwenye promo
 
Wimbo mkali kuanzia kwenye beat,flow ya Izzo,Video hadi Chorus. Big up kwenu Izzo,Barnaba na Shaa
 
Kuna improvement kubwa sana kwenye hii video, nadhani ni best so far kwa kila kitu kitu mfano Quality na mtoto mzuri waliye mtumia kwenye hiyo video, katulia kimtindo..,,.:smile-big: Tukubali wakuu video imetulia tu...Also oamoja SHAA hajaimba sana ila part yake imeifanya vizuri
 
Ahsante kwa kuona hilo mkare! Maana kuna mtu alitaka kuleta mabishano yasiyo na maana.

Haina kipingamizi hiyo video imetulia kwa kila kitu mkuu, kuanzia Quality mpaka huyo binti waliyemtumia na yeye.....Nitashangaa mwakani asiposhinda kwa hii video kwenye hizo Kill Award zao...
 
Siku Izzo B akipata tuzo ya HIP HOP utawasikia waleee waojifanya wao ndo kama waanzilishi wa hip hop watakavyoongeeaaaaa, lakin video ni nzur e-media kwa sasa wanajitaidi kutoa vichupa vikal binafs shaa mawig yake ayovaa nowdays hayanifurahishi sana, naona kama ayamtoi kivileeee
 
Nimetizama video ya wimbo love me , hizzo bisness akimshirikisha barnaba sina budi kusema , ulikuwa na haki ya kumuweka barnaba boy, kwa kweli katenda haki , daah no comments !!

promo at work.
 
Haina kipingamizi hiyo video imetulia kwa kila kitu mkuu, kuanzia Quality mpaka huyo binti waliyemtumia na yeye.....Nitashangaa mwakani asiposhinda kwa hii video kwenye hizo Kill Award zao...
huyo binti ndo aliyemuimba?
kama siyo yeye ntakasirika sana....... huo wimbo atautendea haki kama huyo binti ni mwenyewe aliyemuimba
 
huyo binti ndo aliyemuimba?
kama siyo yeye ntakasirika sana....... huo wimbo atautendea haki kama huyo binti ni mwenyewe aliyemuimba

Hahaha umeona mkuu wangu, ndio hapo me nimeamua kuwa mkweli, ila mara nyingi hawa jamaa huwa hawawatumii wanao waimba wanatumia wengine kabisaaaa....kama ulivyosema kama sio yeye atakuwa hajamtendea haki naona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…