Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetizama video ya wimbo love me , hizzo bisness akimshirikisha barnaba sina budi kusema , ulikuwa na haki ya kumuweka barnaba boy, kwa kweli katenda haki , daah no comments !!
Tht chini ya wafu fm na misukule yake mpo kwenye promo
Na hiyo juu hapo tuite nini kama haujacomment..
Kimashairi Izzo huwa ni wa kawaida,ila kwa kutengeneza mziki mzuri huwa namrespect kwenye hilo.Sijawahi kuona kusikia wimbo mbaya kutoka kwa Izzo AyoTV: Izzo Bizness feat Barnaba & Shaa - YouTube
Ahsante kwa kuona hilo mkare! Maana kuna mtu alitaka kuleta mabishano yasiyo na maana.
Na hiyo juu hapo tuite nini kama haujacomment..
mkuu inaonekana comment zake huwa n za kukosoa tu
Nimetizama video ya wimbo love me , hizzo bisness akimshirikisha barnaba sina budi kusema , ulikuwa na haki ya kumuweka barnaba boy, kwa kweli katenda haki , daah no comments !!
huyo binti ndo aliyemuimba?Haina kipingamizi hiyo video imetulia kwa kila kitu mkuu, kuanzia Quality mpaka huyo binti waliyemtumia na yeye.....Nitashangaa mwakani asiposhinda kwa hii video kwenye hizo Kill Award zao...
huyo binti ndo aliyemuimba?
kama siyo yeye ntakasirika sana....... huo wimbo atautendea haki kama huyo binti ni mwenyewe aliyemuimba