Ahsante Dangote na serikali, bei ya cement Morogoro 9,800

Dah! sijajua lakini ubora wake ingefika Mwanza maana tunauziwa 16,000/= mapaka 17,000/= kwenye kampuni zingine
 
Nasikia wenye viwanda vya cement wameweka mkakati, bei kupaa mwezi ujao
 
Sh 9500/= Dom . Mos. Tanga. Dar 9000/=. Mtwara 9000/=. Mor 10,000/=.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…