Ukiwa uko huwaga huishiwi sababu, kiufupi ubongo unaondolewa .JK alijua kutafuta wawekezaji. Kama angeendelea vijumba vya udongo vyote kijijini vingeisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa uko huwaga huishiwi sababu, kiufupi ubongo unaondolewa .JK alijua kutafuta wawekezaji. Kama angeendelea vijumba vya udongo vyote kijijini vingeisha.
Upo sahihi kabisa.Na itafika tu... wakati huo kuipata hiyo 4,500/= ni sawa na unavyoitafuta 20,000/= ya wakati huu.
Zambia wanasumbuliwa na kipindupinduUnaambiwa Morogoro wewe unakuja na mambo ya Zambia, kwa hiyo unataka wote tuhamie huko Zambia?
Ushakunywa sumu kama ulivyoahidiUnaambiwa Morogoro wewe unakuja na mambo ya Zambia, kwa hiyo unataka wote tuhamie huko Zambia?
Dah! sijajua lakini ubora wake ingefika Mwanza maana tunauziwa 16,000/= mapaka 17,000/= kwenye kampuni zingine
Mkuu kwa sasa Cement imepanda, Dangote 16,000, Simba 16500-17000Ni elekeze duka lilipo kwa bei hiyo mkuu
Wapi hukoMkuu kwa sasa Cement imepanda, Dangote 16,000, Simba 16500-17000
BukobaWapi huko
utakuwa ushakufa labda tukujengee kaburiIkifika 4500 hata mm nitajenga
Mbona bukoba ni 14000 na ni mbali kuliko kahama .Yeah gharama za usafiri ndizo ishu mkuu
Zinaleta tofauti ya hizi bei
[emoji15] [emoji15]Nakonde Zambia ni 7,000/= za bongo.
Bati imeshuka?Kipindi hiki cha Magu ndio kipindi cha kujenga maana kila kitu kimeshuka bei
Jengeni fasta tuje kupangani neema kwakweli tujenge sasa kaah
Kahama ni bei gani?Mbona bukoba ni 14000 na ni mbali kuliko kahama .