SINGLE RASHID
Member
- Nov 8, 2012
- 71
- 15
Habari zenu wana jamvi kwa ujumla wenu....
napenda kutoa ahsante zangu za majonzi kwa watu na vitu hivi vya dunia hii maana sasa WATANZANIA na kizazi chetu kimepatikana haswa...
1.Ahasante JK...kwa wazo lako la shule za kata maana naona wewe na wenzio mmefanikiwa kwa asilimia 60 kutuletea waliofeli mtaani..
2. Ahsante sana FACEBOOK na TWITTER jumlisha SWAGGA maana watoto wetu walikuwa busy sana katika hilo na hatimaye wamefika walipo pataka..
3. Ahsante sana walimu nimeamini kuwa kumbe kweli nyinyi mlishika kwenye mpini na serikali na sisi wananchi tulishika kwenye makali maana matokeo yameonesha uwezo wenu...
AHSANTE