Ahsante JK..FACEBOOK...TWITTER..SWAGGA ...WALIMU

Ahsante JK..FACEBOOK...TWITTER..SWAGGA ...WALIMU

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Habari zenu wana jamvi kwa ujumla wenu....
napenda kutoa ahsante zangu za majonzi kwa watu na vitu hivi vya dunia hii maana sasa WATANZANIA na kizazi chetu kimepatikana haswa...
1.Ahasante JK...kwa wazo lako la shule za kata maana naona wewe na wenzio mmefanikiwa kwa asilimia 60 kutuletea waliofeli mtaani..
2. Ahsante sana FACEBOOK na TWITTER jumlisha SWAGGA maana watoto wetu walikuwa busy sana katika hilo na hatimaye wamefika walipo pataka..
3. Ahsante sana walimu nimeamini kuwa kumbe kweli nyinyi mlishika kwenye mpini na serikali na sisi wananchi tulishika kwenye makali maana matokeo yameonesha uwezo wenu...

AHSANTE
 
Naamini hata ikiletwa mitaala ya marekani kama serikali itendelea kuwapuuza waalimu kuna mda mkoa wote watafaulu 10 tu.
 
Habari zenu wana jamvi kwa ujumla wenu....
napenda kutoa ahsante zangu za majonzi kwa watu na vitu hivi vya dunia hii maana sasa WATANZANIA na kizazi chetu kimepatikana haswa...
1.Ahasante JK...kwa wazo lako la shule za kata maana naona wewe na wenzio mmefanikiwa kwa asilimia 60 kutuletea waliofeli mtaani..
2. Ahsante sana FACEBOOK na TWITTER jumlisha SWAGGA maana watoto wetu walikuwa busy sana katika hilo na hatimaye wamefika walipo pataka..
3. Ahsante sana walimu nimeamini kuwa kumbe kweli nyinyi mlishika kwenye mpini na serikali na sisi wananchi tulishika kwenye makali maana matokeo yameonesha uwezo wenu...

AHSANTE

Sirikali inaleta ujanja ujanja kuwaambia walimu kama hawataki mshahara uliopo wakatafute kazi sehemu zingine na baadhi ya wananchi kuiunga mkono serikali.Matokeo yake ndio hayoo sasa wananchi wanasahau kuwa watoto zao ndio watakao hangaika kama ivi sasa na zero kibao wataenda wapi vijana hawa wakati vijana wenzao ambao ni wa watoto wa wale wakubwa waliowatisha walimu wapo zao kwenye shule za aina ya Marian na fedha na matokeo yao mazuri wakiwa wanajiandaa kuingia Advance kwenye shule zingine nzuri,wazazi tuamuke kwa hali shule ni zetu na watoto ni wetu na serikali ni sisi tutumie nguvu yetu kama umma kufanya mabadiliko kwa maendeleo yetu na kizazi chetu na sio maendeleo ya baadhi ya watu.Natumia nafasi hii pia kuwapongeza macomrade waliofanya vizuri katika mitiiani yao na bila kuwasahau walioharibu wasivunjike moyo ila waongeze juhudi wapatapo nafasi ya kurudia mtihani tena.
 
matokeo ya muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe hayo inabidi watu wajiuzulu sasa.....
 
Back
Top Bottom