nonsense,Ahsante sana John Heche, kwa kweli wewe ni mwalimu. Yaani unaeleza kwa lugha rahisi sana hadi watoto wadogo wanakuelewa. Hii shule ingetolewa miaka mitano iliyopita hakika sasa hivi nchi ingekuwa tayari imeshakombolewa. Keep it up a good work