DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu hii target yako umekusudia kupata papuchi ya bure kutoka kwa naniidah ebu weka bandiko lolote lililopita amblo nina miaka hii mkuu ili kuthibitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii target yako umekusudia kupata papuchi ya bure kutoka kwa naniidah ebu weka bandiko lolote lililopita amblo nina miaka hii mkuu ili kuthibitisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya kweli haya fogohhongera lakin wewe kila mwaka unatimizaga miaka 33 tu yaani miaka imesimamia hapo .
Mungu akubariki sana kwa kupata wakati mujarab kama huusijabuni kitu ndio miaka yangu halisi mkuu
Namshukuru Mungu leo tar 9/5 nimetimiza miaka 33 kamili wengi wamepotea kabla hawajafika huku na walikua na ndoto nyingi,wote ambao tumefika huku tukiwa na afya njema tuungane kumshukuru Mungu .Pia furaha yangu kubwa nimetimiza kigezo anachokitaka inna morata kwani ndio ilikua kigezo pekee ninachomiss cha miaka 33 minimum kwa hiyo baada ya hii thread naenda pm nikiwa kifua mbele