Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Kwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona.

Natoa ahsante nyingi kwako MwanaJF ambaye uko Moshi, ulivyonipokea kwa ukarimu wa hali ya juu. Nasema kutoka moyoni nimefarijika sana. Ulitenga muda wako kunipokea, hadi kunipeleka hotelini na hata kesho yake uliendelea kunisupport kwa usafiri wako kunipeleka sehemu ambazo nilipaswa kwenda. Uliahirisha shughuli zako kwa muda kwa ajili yangu.

Mungu akubariki sana. Nakushukuru sana. Ulinipa heshima kubwa ambayo sikutegemea.

WanaJF tushikamane, nawapenda wooote hapa nitataja tu baadhi lakini hata kama sijakutaja popote ulipo amini nakuthamini mwanaJF mwenzangu.
Mshana Jr, Mulhat Mpunga , Mzee Ngoda95 myoyambendi Madam Mwajuma Patience123 mng'ato Mr. MTUI Kilemakyaaro Mangi flani hivi Miss Natafuta Kididimo Sakayo Roho Mbaya Joseverest Mwifwa

πŸ˜€πŸ˜€mlengwa umejiona nimekutagi hapo. Ningekutagi peke yako wangejua ni nani aliyenipokea.
 
khaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nifanye uchunguzi wa papo hapo jibu nalipata saa hizi

km sio MR MTUI maana yeye ndo kaandikwa kwa herufi kubwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜‰ mwaweje sana wakwetuπŸ˜‰
 
khaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nifanye uchunguzi wa papo hapo jibu nalipata saa hizi
Yaani alinipokea vizuri sana, na hivi gari ilifika usiku kama saa nne na madakika mengi! akanipeleka hotelini, kesho yake tena akanizungusha sehemu zilizokuwa natakiwa kwenda, kusema kweli nilifarika sana.
 
Yaani alinipokea vizuri sana, na hivi gari ilifika usiku kama saa nne na madakika mengi! akanipeleka hotelini, kesho yake tena akanizungusha sehemu zilizokuwa natakiwa kwenda, kusema kweli nilifarika sana.
kule kwetu moshi ni wakarimu sana atii mimi nimekulia moshi na kusoma moshi ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…