Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Kwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona.

Natoa ahsante nyingi kwako MwanaJF ambaye uko Moshi, ulivyonipokea kwa ukarimu wa hali ya juu. Nasema kutoka moyoni nimefarijika sana. Ulitenga muda wako kunipokea, hadi kunipeleka hotelini na hata kesho yake uliendelea kunisupport kwa usafiri wako kunipeleka sehemu ambazo nilipaswa kwenda. Uliahirisha shughuli zako kwa muda kwa ajili yangu.

Mungu akubariki sana. Nakushukuru sana. Ulinipa heshima kubwa ambayo sikutegemea.

WanaJF tushikamane, nawapenda wooote hapa nitataja tu baadhi lakini hata kama sijakutaja popote ulipo amini nakuthamini mwanaJF mwenzangu.
Mshana Jr, Mulhat Mpunga , Mzee Ngoda95 myoyambendi Madam Mwajuma Patience123 mng'ato Mr. MTUI Kilemakyaaro Mangi flani hivi Miss Natafuta Kididimo Sakayo Roho Mbaya Joseverest Mwifwa

😀😀mlengwa umejiona nimekutagi hapo. Ningekutagi peke yako wangejua ni nani aliyenipokea.
Ahsante sana NAHUJA, ungenianika pekee yangu hapa huko PM kwangu pasingekalika.....

Na mimi nichukue fursa hii kutoa pongezi kwa wanaJF wote hasa wale wenye moyo wa kuthamini, kusaidia wenzio kwa hali na mali japo kwa ushauri tu.

Mungu awabariki wote
 
Back
Top Bottom