Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Ndio alirudi nyumbani, halafu akaniambia nikihitaji usafiri nimuite. Na kweli asubuhi saa moja na nusu nikamuita akanipeleka nilipotaka kwenda. Nilifarijika sana kwa kweli. JF ina faida
Kweli JF ina faida lakini kuna nyingine ulizozipata unatubania watu wako humu.
 
Asante sana NAHUJA... Ulistahili mapokezi uliyopata kutokana na hadhi yako, utu wako na heshima yako kwa wote.. Keep it up...,!!!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahhaahhah, uwiiiiiii.
Maana kama yote hayo hamkuyafanya basi hilo limjamaa li lijanaume zembe haijawahi kutokea katika mkoa wa Kilimanjaro na Afrika Mashariki na Kati.
 
Maana kama yote hayo hamkuyafanya basi hilo limjamaa li lijanaume zembe haijawahi kutokea katika mkoa wa Kilimanjaro na Afrika Mashariki na Kati.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…