Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Ukitaka kuja Mwanza nishtue,nitafanya makubwa zaidi ya hayo ya Moshi
Naomba unikarimu basi
Mie mwenyewe mkazi wa Mwanza, 😀😀😀😀😀Ukitaka kuja Mwanza nishtue,nitafanya makubwa zaidi ya hayo ya Moshi
hahahaha, kweli kabisa tena niko hapa jijini wala sio wilayani, hahahahaAnaishi hapo hapo Mwanza...
tehe tehe teheNimefurahi kusikia hii kitu, kaka yangu uliyesababisha NAHUJA kuanzisha huu uzi ubarikiwe sana sana.
Hivi eeeeee! hebu nisaidie nifanye nini zaidi ili ajue nimemshukuru kutoka uvungu wa moyo wangu?asante pekee haitoshi
hahahaha, kweli kabisa tena niko hapa jijini wala sio wilayani, hahahaha
mkaibishe tu muonane na kupiga storyHivi eeeeee! hebu nisaidie nifanye nini zaidi ili ajue nimemshukuru kutoka uvungu wa moyo wangu?
Mie mwenyewe niko Mwanza sasa sijui ana nini cha zaidi kwangu! hahahhhahahha.Mcheki jamaa akukarimu zaidi ya yule wa Moshi.
Maana amejitapa sana eti ukienda Mwanza atakufanyia ukarimu.
hahhahahahaahaahmkaibishe tu muonane na kupiga story
Atakuwa mtaftaji tu huyuNimeshamjua [emoji2] [emoji2]
Hivi eeeeee! hebu nisaidie nifanye nini zaidi ili ajue nimemshukuru kutoka uvungu wa moyo wangu?
Ahsante sana NAHUJA, ungenianika pekee yangu hapa huko PM kwangu pasingekalika.....Kwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona.
Natoa ahsante nyingi kwako MwanaJF ambaye uko Moshi, ulivyonipokea kwa ukarimu wa hali ya juu. Nasema kutoka moyoni nimefarijika sana. Ulitenga muda wako kunipokea, hadi kunipeleka hotelini na hata kesho yake uliendelea kunisupport kwa usafiri wako kunipeleka sehemu ambazo nilipaswa kwenda. Uliahirisha shughuli zako kwa muda kwa ajili yangu.
Mungu akubariki sana. Nakushukuru sana. Ulinipa heshima kubwa ambayo sikutegemea.
WanaJF tushikamane, nawapenda wooote hapa nitataja tu baadhi lakini hata kama sijakutaja popote ulipo amini nakuthamini mwanaJF mwenzangu.
Mshana Jr, Mulhat Mpunga , Mzee Ngoda95 myoyambendi Madam Mwajuma Patience123 mng'ato Mr. MTUI Kilemakyaaro Mangi flani hivi Miss Natafuta Kididimo Sakayo Roho Mbaya Joseverest Mwifwa
😀😀mlengwa umejiona nimekutagi hapo. Ningekutagi peke yako wangejua ni nani aliyenipokea.