Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe ulikuwa hujashtuka eeeh!! Waje wote tuu hakuna namna ingine
Shunie itabidi afanye hivo[emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiwooo, nitaweka nyimbo tatu kabisaaa!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi hoiiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi mm ni mjanja kiasi hiko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie anaeza chonga bonge ya letter akaipiga na muhuri wa serikali za mitaa kabsa.
Aaah kweli, itabidi nimpokee wakja wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe ulikuwa hujashtuka eeeh!! Waje wote tuu hakuna namna ingine
Ewaaaaa
Tena aje nae kabisaaa, maana Shunie hashindwi kuandika mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…