Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukute.jamaa ana taka afunge goli la mbalii kama yale ya Beckham
Kuwa mtulivu
Chombo ikisharuka kurudi kwao kuipata tena ni ngumu..tena ukute inarudi kwa mumewe, one chance,one attempt, you must score[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unacheza na barca unapata nafasi moja unambwela?? Dk 90 zinaweza isha hujapata tena nyingine
 
Aiseee...hapo dada akikaa anasema yule kaka sijui kama ni mzima,kukaa na mimi kote kule hata hajanichokoza ile ya kiutani utani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahh
Au anasema yule mchaga fala kweli.... Au anajisemea mimi siwezi kukulwa kifala!!!

Nawaza tuu jamani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Chombo ikisharuka kurudi kwao kuipata tena ni ngumu..tena ukute inarudi kwa mumewe, one chance,one attempt, you must score[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unacheza na barca unapata nafasi moja unambwela?? Dk 90 zinaweza isha hujapata tena nyingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We umeambiwa hiyo ndio safari ya mwisho?
Muache jamaa ana ichosha kwanza timu pinzani halaf baadaye ataanza kufunga kwa wingii
 
Hahahaha
Wacha kabisaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We umeambiwa hiyo ndio safari ya mwisho?
Muache jamaa ana ichosha kwanza timu pinzani halaf baadaye ataanza kufunga kwa wingii
Huyo mchagga mwenzangu kashusha sana cv zetu....

Nazingua hapa ili aje kujibu tumjue[emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaa
Unataka usema uzi umewekwa kumkumbusha kosa lake pia?
Ndio ndio mkuu NAHUJA anamlaumu kiaina lakini jamaa sijui kama analitambua hilo..unajua kama alifanikiwa mambo yake huwa mtu anahitaji refreshment kabla hajaondoka eneo husika

Yeye hakupata hizo refreshment yote hiyo kutokana na uzembe wa kaka mchagga
 
Back
Top Bottom