Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahahhTeh teh
Alijua niko South?
Akiskia.niko Malawi utaskia ana ahirisha kuja
Yeye aje lakini bwana shemeji awe pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahhTeh teh
Alijua niko South?
Akiskia.niko Malawi utaskia ana ahirisha kuja
Teh teh
Alijua niko South?
Akiskia.niko Malawi utaskia ana ahirisha kuja
Basi nakuja Malawi jamani south nitapotea mimi hakuna wa kunipokeaHahahaha
Mecheka sana jamani
Chombo ikisharuka kurudi kwao kuipata tena ni ngumu..tena ukute inarudi kwa mumewe, one chance,one attempt, you must score[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukute.jamaa ana taka afunge goli la mbalii kama yale ya Beckham
Kuwa mtulivu
HahahhAiseee...hapo dada akikaa anasema yule kaka sijui kama ni mzima,kukaa na mimi kote kule hata hajanichokoza ile ya kiutani utani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa uko south nani atanipokea shunie mm jamani
HahahahaBasi nakuja Malawi jamani south nitapotea mimi hakuna wa kunipokea
Nakupendaga hapo tu, wewe unaelewa haraka sana hizi mada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahh
Au anasema yule mchaga fala kweli.... Au anajisemea mimi siwezi kukulwa kifala!!!
Nawaza tuu jamani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahh
Yeye aje lakini bwana shemeji awe pembeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utaweza kuja Malawi wewe kweli?
Hahahaha
Jamani wacha nifuturuuuuu
HahahahaNakupendaga hapo tu, wewe unaelewa haraka sana hizi mada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chombo ikisharuka kurudi kwao kuipata tena ni ngumu..tena ukute inarudi kwa mumewe, one chance,one attempt, you must score[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unacheza na barca unapata nafasi moja unambwela?? Dk 90 zinaweza isha hujapata tena nyingine
Hahahaha
Wacha kabisaaa
Huyo mchagga mwenzangu kashusha sana cv zetu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We umeambiwa hiyo ndio safari ya mwisho?
Muache jamaa ana ichosha kwanza timu pinzani halaf baadaye ataanza kufunga kwa wingii
Mlitumia condom?Kweli kabisa ngoja nimtaje moja kwa moja. Ushauri wako ni mzuri. Alini entertain sana. Niliona faida JF.
Aaaaaagh shikamoo ya nini?Ndiwooo
Shkamoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahh
Au anasema yule mchaga fala kweli.... Au anajisemea mimi siwezi kukulwa kifala!!!
Nawaza tuu jamani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna nini huko jamani acha kunitisha kaka akee
HahahahaaHuyo mchagga mwenzangu kashusha sana cv zetu....
Nazingua hapa ili aje kujibu tumjue[emoji23] [emoji23]
Ebu niambie kaka angu kuko na nini huko[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huku siyo kama DSM
Ndio ndio mkuu NAHUJA anamlaumu kiaina lakini jamaa sijui kama analitambua hilo..unajua kama alifanikiwa mambo yake huwa mtu anahitaji refreshment kabla hajaondoka eneo husikaHahahahaa
Unataka usema uzi umewekwa kumkumbusha kosa lake pia?