The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Siku ukija kwa malkia naomba unishtue ili na mimi niwe mwenyeji wako huku, nitakupeleka Stamford bridge,Emirates na Old trafford.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh kwaiyo ulinitania eeHhahahahaaa.... LOL hebu nikumbushe kidogo, umri huu ushaenda kumbukumbu nehi...
EwaaaaaNiko naye... yeye ndo ananifukizia ubani...
Umemsahau Putin.Kwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona.
Natoa ahsante nyingi kwako MwanaJF ambaye uko Moshi, ulivyonipokea kwa ukarimu wa hali ya juu. Nasema kutoka moyoni nimefarijika sana. Ulitenga muda wako kunipokea, hadi kunipeleka hotelini na hata kesho yake uliendelea kunisupport kwa usafiri wako kunipeleka sehemu ambazo nilipaswa kwenda. Uliahirisha shughuli zako kwa muda kwa ajili yangu.
Mungu akubariki sana. Nakushukuru sana. Ulinipa heshima kubwa ambayo sikutegemea.
WanaJF tushikamane, nawapenda wooote hapa nitataja tu baadhi lakini hata kama sijakutaja popote ulipo amini nakuthamini mwanaJF mwenzangu.
Mshana Jr, Mulhat Mpunga , Mzee Ngoda95 myoyambendi Madam Mwajuma Patience123 mng'ato Mr. MTUI Kilemakyaaro Mangi flani hivi Miss Natafuta Kididimo Sakayo Roho Mbaya Joseverest Mwifwa
😀😀mlengwa umejiona nimekutagi hapo. Ningekutagi peke yako wangejua ni nani aliyenipokea.
Ameeeeen[emoji3] [emoji3] nafurahi kuskia hvyoo[emoji120] [emoji120]
maandishi tu yanaonyesha ulivyo na roho ya kipekee
Ubarikiweeee
Jirani hongera kwa kuwa mkarimu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀He!!
Na kama sikosei alikupeleka hotelini kwake. Ana roho njema sana kwa tunaomfahamu. Mungu Azidi kumzidishia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yaani alinipokea vizuri sana, na hivi gari ilifika usiku kama saa nne na madakika mengi! akanipeleka hotelini, kesho yake tena akanizungusha sehemu zilizokuwa natakiwa kwenda, kusema kweli nilifarika sana.
duh!!Na kama sikosei alikupeleka hotelini kwake. Ana roho njema sana kwa tunaomfahamu. Mungu Azidi kumzidishia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwema jirani?duh!!
kwema kabisa...Kwema jirani?
Kama nimekorofisha hapo juu sema niifute...kwema kabisa...
twende tu jirani hamna neno..Kama nimekorofisha hapo juu sema niifute...
Nipo kaka yangu. Bando lilikata. hahahahahahaahh
Wivu sikutajwaKwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona.