Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Dear wapendwa
Tarehe ya 20 june nilifikisha miaka 3 Rasmi ya ndoa na mwaka Mmmoja rasmi wa mwanangu Faith P Didy
Pengine nilitamani kuifurahia siku hii tar hiyo bahati mbaya sikuwa dar es laama ila kwa upendo wa Mungu nimeingia
jana kwa rehema zake na maandiko kama yanavyosema tusiache kushukuru kila iitwapo leo basi nikaona ni wakati mwema
wa siku ya leo kufurahina ndugu jamaa na marafiki na wote waliofanikisha kuwepo na amani na upendo kwenye ndoa yangu
mpaka leo hii..nasema hili kwa furaha na upendo ni wengi wanateseka na ndoa zao Binafsi ningeomba nianze kuwashukuru wafuatao
Mwenyezi Mungu:
Huyu kwa kweli sijui nisemeje lakini kwa neema tu kama 2kor 10:15 inavyosema kwa neema ya Mungu tu nimekuwa hivi nilivyo
Kama si upendo na neema ya Mungu pengine na mimi ningekuwa nalia kwenye ndoa yangu na pengine ningekuwa nahesabu ndege
Pale segerea ama kwa kumpiga mke wangu lakini huyu Bwana Yesu Alietupa upendo wa agape wa kuvumiliana na kusameheana
na pengine si kwamba akuna kutoelewana kupo ila ufahamu Wa Mungu ukitawala ndoa yenu basi ni amani na upendo tu hata kukiwa\kutokuelewana Mungu anamwonyesha mmoja wenu nini cha kufanya na mnarudi kwenye system ya furaha
Bila Huyu nisingekuwa nacheza na kufurahi na mttoto wangu Faith didy kitandani kwa furaha na amani waliosoma topic zangu za uzazi
wanajua shetani alivyotaka kujiinua lakini tunae Bwana wa Majeshi aldpha na Omega Mwanzo naa mwisho akuna kinachoshindikana kwake
Mke Wangu Agatha PDIDY:
Huyu naweza sema baada ya Mungu basi ndie aliefanya upendo wetu ukafika mahali hapa tulipo.biinafsi nakupa ahasante kwa kuvumiliana na kupendana ahasante kwakuwa mkwelipopote pale nilipokosea na kunisahihisha ahasante kwa kunilea zaidi ya mtoto na upendo huu ndio ulionifanya niwe na afya njema nitakate ,lupendo wako ndio unaonifanya nikiwa lunch time niulize mkewangu uko wapi,upendo wako unanifanya nikitoka kazini niwaze kukimbilia nyumban kuona familia...najua ni mengi umenibadilisha kabla ya ndoa yetu nikitoka kaziini nawaza niende bar gan kunywa na kwenda kulala leo nawaza kukimbilia kuona familia yangu ni neema ya BWANA YESU
Mungu azidi kukutunza na kukupigani azidi kukupa kilaitaji la Moyo wako na upendo wako uendlee kwa wazazi wetuwote kama tunavyoishi nao
zaidi tusuaiche kuwakumba ndugu jamaa na majirani waliokuwa nasi kipindi chote cha uzazi wa mtoto wetu walioleta nepi kwa furaha Mungu awabariki bila kuwasahau JF Members waliotupa imani kwamba Yesu anaweza tukizidi kumuamini ndoa yetu itadumu leo tunaangaza mwaka wa Tatu kwa Furaha
WAZAZI:
MUNGU AWABARIKI WAZAZI WETU KWA KUWA PAMOJA NA SISI WAKATI MZITOWA MATAYARISHO YA NDOA NA MPAKA KWENYE KIPINDI CHA KUJIFUNGUA MTOTO WETU MUNGU AWABARIKI NANEEMA ZA BWANA ZISIWAACHE ,,ZAIDI YA YOTE NAJUA MEMA YA NCHI MSHAKULANA MNAENDELEA KULA BASI UPENDO WA MUNGU KUISHI MILELE UKAWE KWENU KILA IITWAPO LEO.MUNGU AWABARIKI NA KILA ANAWEZA BAYA JUU YENU BASI I BACK TO SENDER NA MUNGU ALIE HAI ASIWAACHE KWENYE NEEMA ZAKE/
SPECIAL THANKS:
KWA KANISA LA VICTORY FAITH ARUSHA KWA UPENDO WAO MKUBWA WALIOKUWA NAO MPAKA LEO HII JUU YETU ,MUNGU AKUBARIKI MY DADY VICENT N FAMILLY NA WASHARIKA WOTE WALIOKUWA NA SI KWENYE MAOMBI,PAST LUCY;ester,HON;NA WOTE WANAOMTUKUZA MUNGU WETU ALIE HAI
Marafiki:
Ndugu wapendw akwa niaba ya Familia ya DIDY napenda kutoa shukran kwa wale wote waliofanikisha kwa njia moja ama nyingine kwenye harusi yetu na haata kutoa mawazo nikimaanisha kwahali na mali.Mungu awajaze rehema zake Muwe na upendo na amani kwenye familia zenu kamamlivyokuwa mkituombea Mungu azidi kufungua milango ya maisha yenu,Kwa wale ambao awajaolewa ama kuoa Mungu akawape mke mwema kama agatha mume mwema kama pdidy na nyie mwone utamu wa YESU mkiwa duniani ni shukran nyingi lakini atuna cha kuongea zaidi ya kusema
Mungu awabariki
Maadui:
Hawa nao wapo kila sehemu na biblia inasema Mwombe adui wako aishi ili aje kuona Ukuu wa MUNGU na baraka za Bwana zikikumwagikia
Binafsi tunazidi kuwaombea Mungu awabariki muendelee kuishi Mungu awafanikishe katika kila jambo ,mtakalowaza na zaiidi ya yote muongezee upendo pale mlipoupunguza ili amani ya Bwana izidi kuwa nanyi nanyi
Mungu Awabariki