Ahsante my wife!my jf n non jf friends;my my familly'; my every one in lord

Ahsante my wife!my jf n non jf friends;my my familly'; my every one in lord

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Dear wapendwa
Tarehe ya 20 june nilifikisha miaka 3 Rasmi ya ndoa na mwaka Mmmoja rasmi wa mwanangu Faith P Didy
Pengine nilitamani kuifurahia siku hii tar hiyo bahati mbaya sikuwa dar es laama ila kwa upendo wa Mungu nimeingia
jana kwa rehema zake na maandiko kama yanavyosema tusiache kushukuru kila iitwapo leo basi nikaona ni wakati mwema
wa siku ya leo kufurahina ndugu jamaa na marafiki na wote waliofanikisha kuwepo na amani na upendo kwenye ndoa yangu
mpaka leo hii..nasema hili kwa furaha na upendo ni wengi wanateseka na ndoa zao Binafsi ningeomba nianze kuwashukuru wafuatao

Mwenyezi Mungu:
Huyu kwa kweli sijui nisemeje lakini kwa neema tu kama 2kor 10:15 inavyosema kwa neema ya Mungu tu nimekuwa hivi nilivyo
Kama si upendo na neema ya Mungu pengine na mimi ningekuwa nalia kwenye ndoa yangu na pengine ningekuwa nahesabu ndege
Pale segerea ama kwa kumpiga mke wangu lakini huyu Bwana Yesu Alietupa upendo wa agape wa kuvumiliana na kusameheana
na pengine si kwamba akuna kutoelewana kupo ila ufahamu Wa Mungu ukitawala ndoa yenu basi ni amani na upendo tu hata kukiwa\kutokuelewana Mungu anamwonyesha mmoja wenu nini cha kufanya na mnarudi kwenye system ya furaha
Bila Huyu nisingekuwa nacheza na kufurahi na mttoto wangu Faith didy kitandani kwa furaha na amani waliosoma topic zangu za uzazi
wanajua shetani alivyotaka kujiinua lakini tunae Bwana wa Majeshi aldpha na Omega Mwanzo naa mwisho akuna kinachoshindikana kwake

Mke Wangu Agatha PDIDY:
Huyu naweza sema baada ya Mungu basi ndie aliefanya upendo wetu ukafika mahali hapa tulipo.biinafsi nakupa ahasante kwa kuvumiliana na kupendana ahasante kwakuwa mkwelipopote pale nilipokosea na kunisahihisha ahasante kwa kunilea zaidi ya mtoto na upendo huu ndio ulionifanya niwe na afya njema nitakate ,lupendo wako ndio unaonifanya nikiwa lunch time niulize mkewangu uko wapi,upendo wako unanifanya nikitoka kazini niwaze kukimbilia nyumban kuona familia...najua ni mengi umenibadilisha kabla ya ndoa yetu nikitoka kaziini nawaza niende bar gan kunywa na kwenda kulala leo nawaza kukimbilia kuona familia yangu ni neema ya BWANA YESU
Mungu azidi kukutunza na kukupigani azidi kukupa kilaitaji la Moyo wako na upendo wako uendlee kwa wazazi wetuwote kama tunavyoishi nao
zaidi tusuaiche kuwakumba ndugu jamaa na majirani waliokuwa nasi kipindi chote cha uzazi wa mtoto wetu walioleta nepi kwa furaha Mungu awabariki bila kuwasahau JF Members waliotupa imani kwamba Yesu anaweza tukizidi kumuamini ndoa yetu itadumu leo tunaangaza mwaka wa Tatu kwa Furaha

WAZAZI:
MUNGU AWABARIKI WAZAZI WETU KWA KUWA PAMOJA NA SISI WAKATI MZITOWA MATAYARISHO YA NDOA NA MPAKA KWENYE KIPINDI CHA KUJIFUNGUA MTOTO WETU MUNGU AWABARIKI NANEEMA ZA BWANA ZISIWAACHE ,,ZAIDI YA YOTE NAJUA MEMA YA NCHI MSHAKULANA MNAENDELEA KULA BASI UPENDO WA MUNGU KUISHI MILELE UKAWE KWENU KILA IITWAPO LEO.MUNGU AWABARIKI NA KILA ANAWEZA BAYA JUU YENU BASI I BACK TO SENDER NA MUNGU ALIE HAI ASIWAACHE KWENYE NEEMA ZAKE/

SPECIAL THANKS:
KWA KANISA LA VICTORY FAITH ARUSHA KWA UPENDO WAO MKUBWA WALIOKUWA NAO MPAKA LEO HII JUU YETU ,MUNGU AKUBARIKI MY DADY VICENT N FAMILLY NA WASHARIKA WOTE WALIOKUWA NA SI KWENYE MAOMBI,PAST LUCY;ester,HON;NA WOTE WANAOMTUKUZA MUNGU WETU ALIE HAI

Marafiki:
Ndugu wapendw akwa niaba ya Familia ya DIDY napenda kutoa shukran kwa wale wote waliofanikisha kwa njia moja ama nyingine kwenye harusi yetu na haata kutoa mawazo nikimaanisha kwahali na mali.Mungu awajaze rehema zake Muwe na upendo na amani kwenye familia zenu kamamlivyokuwa mkituombea Mungu azidi kufungua milango ya maisha yenu,Kwa wale ambao awajaolewa ama kuoa Mungu akawape mke mwema kama agatha mume mwema kama pdidy na nyie mwone utamu wa YESU mkiwa duniani ni shukran nyingi lakini atuna cha kuongea zaidi ya kusema
Mungu awabariki

Maadui:
Hawa nao wapo kila sehemu na biblia inasema Mwombe adui wako aishi ili aje kuona Ukuu wa MUNGU na baraka za Bwana zikikumwagikia
Binafsi tunazidi kuwaombea Mungu awabariki muendelee kuishi Mungu awafanikishe katika kila jambo ,mtakalowaza na zaiidi ya yote muongezee upendo pale mlipoupunguza ili amani ya Bwana izidi kuwa nanyi nanyi

Mungu Awabariki
 
Khaaaa!!! ndefu hiooo.... nimeshindwa soma yooooote!!! bahati nzuri umeweka vichwa vya habari hivyo inaonesha habari nzuri hiiiii!!!! HONGERA MWAYAAA!!!!
 
Jf Members and Non Members:
Nanyi Mungu awabariki sana kwamichango yenu nimekuwa nikileta mada mbalimbali kwa kurekebisha ndoa zetu kwa ujumla na nimeona
mawazo yenu na kuyafanyia kazi na pengine cha kuwaasa wenzangu msisome hapa kama gazeti la udaku mayosoma kiiona ya maana fanyoen kazi,,wapo waliotengeneza ndoa zao kwa mawazo ya wana jf naleo hii wanakula kuku kwa mrija..wapo wanaoona pepo ya ndoa dunian na sio kusubiri mpaka wafe kupitia mawazo ya wana JF;Binafsi natoa hongera kwa mods na wanzilishi wote wa Jf walioianzisha kwa taabu kwa nia moja amanyingine Mungu asiwaache kwenye neema zake hasa upande wa familia na kwenye Mifuko ...laaana ya kusema sina ama nimeishiwa isiwe kwa wana Jf na Mungu ninaemwamini kwa imani ataenda hili...

Kwa ujumla Mungu awabariki na kuwaangazia Nuru ya Amani kwenye Maisha Yenu yoteeeeeeeeeee na kila mnachosema na kutamka kikawe NDIO kwa Mungu wetu alie hai;tusiache kumtumaini na Kumtumikia Bwana Yesu kuna vitu vikubwa umeaandliwa wewe utakaejitoa kwa ajili ya kumtumikia MUNGU atokuacha usikate tamaa Ipo siku Muhubiri anasema kuna wakati Furaha wakati wa kununa wakati wakucheka sasa inategema kuna walioandaliwa zote mbili nakuna walikwaa moja moja na maisha yao yoote naamini Mungu ninae mwamini kama uko kwenye huzuni basi furaha inakuja muda si mrefu

Be Blessed


pengine wewe una matatizo makubwa kwenye ndoa yako familia yako watotowako ukisoma maandiko akuna linaloshindikana kwa bwana swala muhimu ni kuacha uovu na kumwomba MUNGU atende sawa na maandiko..ifike wakati tusimame na maandiko tuache story za kusali kama watumwa mwambie MUNGU ulisema hiki mstari huu nami nimesema naitaji hiki sali usichoke ngangana mwambie Mungu akupe roho ya kungangania sio mtu unamkopesha mwaka ajalipa ati unaishia yaannii wewe MUNGU pigana nae Mungu ana kazi nyingi za kuwapigania watu iso madeni madeni uanapambana Mwnyewe nguvu hiyo hiyo komaa nayo kwenye kila kilichoitajimbele yakousikiache Mungu atatenda

UJUMBE
Tusichokane turekebishane tusaidiane tuombeane kila siku ,usiiache kunijulisha nilipokosea na ninapongania kukosea

Mungu akubariki
 
Ameeen, na Hongera SANA kiongozi!
Nifikishie salamu kwa Agatha.
Naamini shukrani hizi zinanihusu moja kwa moja, maana nahisi ni rafiki yako!
 
Be blessed broda,i wish nitafuata nyayo zako na pengine zaidi!
 
  • nakupa thanks kwanza wakati nasoma hii Riwaya ni ndefu Pdidy

Khaaaa!!! ndefu hiooo.... nimeshindwa soma yooooote!!! bahati nzuri umeweka vichwa vya habari hivyo inaonesha habari nzuri hiiiii!!!! HONGERA MWAYAAA!!!!
Ndo maana tuna matatizo ya mikataba...



Mkuu PDidy hongera sana..Mungu azidi kukupa hekima na furaha katika safari ya maisha yako
 
Hongera sana Mungu awaongoze kwa kila hitaji la mioyo yenu.
 
Hongera sana, inaonyesha kwamba wewe una upendo mkubwa na unajali sana, MUNGU wa mbinguni na azidi kukuinua sana katika kazi/mambo yako yote. Kumbuka kutoa sadaka, weka tu kwenye bahasha inenee maneno yako tumbukiza kwenye chombo cha sadaka, na MUNGU hataacha kuzidi sana kukubariki.
 
Hongera zako na mkeo!..Mungu awajalie maisha marefu yenye upendo, amani na uvumilivu!!..Mzeeke wote!!
 
Hongera pdidy mshukuru Mungu kwa yote aliyokujalia maana kuna wengi wetu tunasoma hapa tukiwa katika kikaango cha ndoa, hongera sana and keep the spirit up, my regards to family kaka.
 
dear wapendwa
tarehe ya 20 june nilifikisha miaka 3 rasmi ya ndoa na mwaka mmmoja rasmi wa mwanangu faith p didy
pengine nilitamani kuifurahia siku hii tar hiyo bahati mbaya sikuwa dar es laama ila kwa upendo wa mungu nimeingia
jana kwa rehema zake na maandiko kama yanavyosema tusiache kushukuru kila iitwapo leo basi nikaona ni wakati mwema
wa siku ya leo kufurahina ndugu jamaa na marafiki na wote waliofanikisha kuwepo na amani na upendo kwenye ndoa yangu
mpaka leo hii..nasema hili kwa furaha na upendo ni wengi wanateseka na ndoa zao binafsi ningeomba nianze kuwashukuru wafuatao

mwenyezi mungu:
huyu kwa kweli sijui nisemeje lakini kwa neema tu kama 2kor 10:15 inavyosema kwa neema ya mungu tu nimekuwa hivi nilivyo
kama si upendo na neema ya mungu pengine na mimi ningekuwa nalia kwenye ndoa yangu na pengine ningekuwa nahesabu ndege
pale segerea ama kwa kumpiga mke wangu lakini huyu bwana yesu alietupa upendo wa agape wa kuvumiliana na kusameheana
na pengine si kwamba akuna kutoelewana kupo ila ufahamu wa mungu ukitawala ndoa yenu basi ni amani na upendo tu hata kukiwa\kutokuelewana mungu anamwonyesha mmoja wenu nini cha kufanya na mnarudi kwenye system ya furaha
bila huyu nisingekuwa nacheza na kufurahi na mttoto wangu faith didy kitandani kwa furaha na amani waliosoma topic zangu za uzazi
wanajua shetani alivyotaka kujiinua lakini tunae bwana wa majeshi aldpha na omega mwanzo naa mwisho akuna kinachoshindikana kwake

mke wangu agatha pdidy:
huyu naweza sema baada ya mungu basi ndie aliefanya upendo wetu ukafika mahali hapa tulipo.biinafsi nakupa ahasante kwa kuvumiliana na kupendana ahasante kwakuwa mkwelipopote pale nilipokosea na kunisahihisha ahasante kwa kunilea zaidi ya mtoto na upendo huu ndio ulionifanya niwe na afya njema nitakate ,lupendo wako ndio unaonifanya nikiwa lunch time niulize mkewangu uko wapi,upendo wako unanifanya nikitoka kazini niwaze kukimbilia nyumban kuona familia...najua ni mengi umenibadilisha kabla ya ndoa yetu nikitoka kaziini nawaza niende bar gan kunywa na kwenda kulala leo nawaza kukimbilia kuona familia yangu ni neema ya bwana yesu
mungu azidi kukutunza na kukupigani azidi kukupa kilaitaji la moyo wako na upendo wako uendlee kwa wazazi wetuwote kama tunavyoishi nao
zaidi tusuaiche kuwakumba ndugu jamaa na majirani waliokuwa nasi kipindi chote cha uzazi wa mtoto wetu walioleta nepi kwa furaha mungu awabariki bila kuwasahau jf members waliotupa imani kwamba yesu anaweza tukizidi kumuamini ndoa yetu itadumu leo tunaangaza mwaka wa tatu kwa furaha

wazazi:
mungu awabariki wazazi wetu kwa kuwa pamoja na sisi wakati mzitowa matayarisho ya ndoa na mpaka kwenye kipindi cha kujifungua mtoto wetu mungu awabariki naneema za bwana zisiwaache ,,zaidi ya yote najua mema ya nchi mshakulana mnaendelea kula basi upendo wa mungu kuishi milele ukawe kwenu kila iitwapo leo.mungu awabariki na kila anaweza baya juu yenu basi i back to sender na mungu alie hai asiwaache kwenye neema zake/

special thanks:
kwa kanisa la victory faith arusha kwa upendo wao mkubwa waliokuwa nao mpaka leo hii juu yetu ,mungu akubariki my dady vicent n familly na washarika wote waliokuwa na si kwenye maombi,past lucy;ester,hon;na wote wanaomtukuza mungu wetu alie hai

marafiki:
ndugu wapendw akwa niaba ya familia ya didy napenda kutoa shukran kwa wale wote waliofanikisha kwa njia moja ama nyingine kwenye harusi yetu na haata kutoa mawazo nikimaanisha kwahali na mali.mungu awajaze rehema zake muwe na upendo na amani kwenye familia zenu kamamlivyokuwa mkituombea mungu azidi kufungua milango ya maisha yenu,kwa wale ambao awajaolewa ama kuoa mungu akawape mke mwema kama agatha mume mwema kama pdidy na nyie mwone utamu wa yesu mkiwa duniani ni shukran nyingi lakini atuna cha kuongea zaidi ya kusema
mungu awabariki

maadui:
hawa nao wapo kila sehemu na biblia inasema mwombe adui wako aishi ili aje kuona ukuu wa mungu na baraka za bwana zikikumwagikia
binafsi tunazidi kuwaombea mungu awabariki muendelee kuishi mungu awafanikishe katika kila jambo ,mtakalowaza na zaiidi ya yote muongezee upendo pale mlipoupunguza ili amani ya bwana izidi kuwa nanyi nanyi

mungu awabariki


hongereni sana sana sana , na mungu azidi kuwabariki katika ndoa yenu,



nimefurahi sana ulivyowakumbuka maadui,
kutoka ndani ya moyo, maadui ni watu ninaowahitaji sana katika
maisha yangu kwa sababu naamini maadui ndiyo chachu,
ya maendeleo na upendo mahali/sehemu yoyote ile,
pia kwasababu naamini hakuna maisha pasipo kuwepo maadui.
 
Ndo maana tuna matatizo ya mikataba...



Mkuu PDidy hongera sana..Mungu azidi kukupa hekima na furaha katika safari ya maisha yako




ha ha ah ha, matatizo ya mikataba,
inatokana na uvivu wa kuisoma,kuielewa, kuichambua kwa umakini,
na mwisho kuitolea maamuzi sahihi kwa wakat sahihi,
ndiyo maana wao {wawekezaji) kwa kulielewa hili siku ya kutiliana saini mkataba lazima kuwe ,
na wine ili kumpunguzia uchovu MTZ mwenye dhamani hiyo........
 
Mkuu Hongera kwa vyote na mtoto pia, Mungu akuongoze ufanikishe Mengi!
 
Back
Top Bottom