Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huu ugoro alikua anawajaza watoto wa chekechea au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choma sindano, wala usiwaze! Ha ha ahaaa!Huu ugoro alikua anawajaza watoto wa chekechea au?
Mama Samia hatuvushi maana hata yeye kama kiongozi hajui anataka niniLengo lao nadhani ni kutugombanisha kwa njia hii. Maana kwenye ukabila wameshindwa, kwenye dini wameshindwa, kwenye vyama vyasiasa wameshindwa....tusipoangalia hili suala linaweza kututia matatani kama watanzania hatutasimama imara. Hata hivyo, nina imani na Mama Samia tutavuka salama.
Tutafiti kwanini hatukupigwa Sana hata ukilinganisha na majirani zetu tu hapoMimi huwa nadhani kwamba badala ya ku'contrast' tuna'compare'. Huwa nafikiria kama Tanzania wakati huo Covid-19 ilipopiga tungepitia majaribu kama yaliyopitia baadhi ya mataifa kama Italia, lugha yetu ingebadilika na hata tungechukua hatua kali zaidi kulingana na uzito wa tatizo. Nchi zilizoathiriwa sana zilikuwa katika hali hiyo. Kwa vile sisi hatujapigwa sana hatukuchukua extreme measures. Lakini kuna nchi zilipigwa sana na kulazimika kuchukua extreme measures. Hiyo ndiyo tofauti kati yetu na wao, lakini waliyopitia baadhi ya mataifa siyo yale tuliyopitia sisi. Hivyo, comparison haihusiki hapa, bali contrast!
Hilo ndilo lingekuwa jambo la kufanya na huenda ndio ungekuwa mchango wetu wa mwaka kwa dunia nzima. Lakini hili la utafiti haliwezi kupata nafasi sana kama 'speculation'.Tutafiti kwanini hatukupigwa Sana hata ukilinganisha na majirani zetu tu hapo
Ni kweli Bro. ..unajua tatizo letu huwa hatupendi ku appreciate mwingine kama kafanya vizuri. .approach tuliyoitumia mwaka Jana nchi nyingi tu zilizo copy idea..na nyingine zilifanikiwa sana. Mfano hata zile machine zilizokuwa zikipima covid. ..zilipopelekewa mapapai zikasema positive, oil zikasema positive kuna nchi za ulaya nazo zilipima kwa style hii hii zikakuta kweli mashine zilikuwa zinadanganya. ..simple chemistry...Hilo ndilo lingekuwa jambo la kufanya na huenda ndio ungekuwa mchango wetu wa mwaka kwa dunia nzima. Lakini hili la utafiti haliwezi kupata nafasi sana kama 'speculation'.
Nadhan tungekuwa na mchango mkubwa Sana kwa Dunia kama unavyosema. ...wananchi wasisahau wakati nchi nyingi zimekuwa na negative growth ni Tanzania pekee iliweza Kuwa na positive growth na ikaingia UCHUMI wa KATI...ni wondersHilo ndilo lingekuwa jambo la kufanya na huenda ndio ungekuwa mchango wetu wa mwaka kwa dunia nzima. Lakini hili la utafiti haliwezi kupata nafasi sana kama 'speculation'.
Matumizi mabaya ya MB
Inaonekana alikutahili bila ganzi hivyo maumivu yake unayakumbuka😁😁😁😁Huyo mjomba angalipo? Kweli kila zama na kitabu chake.
Kumsikiliza ni kupoteza GB bure bora ungeandika kasema je
Kwenye hizo mashine za kupima huwa mpaka sasa najiuliza maswali na sipati majibu: 1) serikali inaagiza mashine, 2) halafu serikali inapima mapapai...oil ili kuonyesha hazifai...Lengo lilikuwa kuonyesha kampuni iliyotuuzia (kama tulinunua) au nchi hizo mashine zilipotoka au wataalamu wetu (yaani serikali yenyewe) kwamba imenunua au imepokea mashine ambazo zina walakini?Ni kweli Bro. ..unajua tatizo letu huwa hatupendi ku appreciate mwingine kama kafanya vizuri. .approach tuliyoitumia mwaka Jana nchi nyingi tu zilizo copy idea..na nyingine zilifanikiwa sana. Mfano hata zile machine zilizokuwa zikipima covid. ..zilipopelekewa mapapai zikasema positive, oil zikasema positive kuna nchi za ulaya nazo zilipima kwa style hii hii zikakuta kweli mashine zilikuwa zinadanganya. ..simple chemistry...
Naona kakumbuka kumeza ARV kidogo kauso kake ka kizee kameanza kupata nuru. Ukimwi noma sana
Sote tulikuwa tunamsapoti Hayati JPM kwa hiyo tulikuwa chawa promax wake.....Sawa Chawa ProMax uko kazini kutetea kitumbua. Mlamba miguu AKA Bendera fuata upepo
Mgombanishwe kwa lipi,Uviko ni swala la dunia nzima na haya mauza uza hapa nchini tatizo linasababishwa na serikali yetu yenyewe kukosa msimamo mmoja kiasi chakuruhusu kila mtu kuongea lake hadharani.Lengo lao nadhani ni kutugombanisha kwa njia hii. Maana kwenye ukabila wameshindwa, kwenye dini wameshindwa, kwenye vyama vyasiasa wameshindwa....tusipoangalia hili suala linaweza kututia matatani kama watanzania hatutasimama imara. Hata hivyo, nina imani na Mama Samia tutavuka salama.
Jamani si tumekubaliana serikali iendeshwe kidemokrasia, haki za binadamu, na uhuru wa kutoa maoni!? Iweje tena upinge haki za kutoa maoni!?serikali yetu yenyewe kukosa msimamo mmoja kiasi chakuruhusu kila mtu kuongea lake hadharani.