#COVID19 Ahsante ndugu Humphrey Polepole kwa msimamo wako kuhusu CORONA

😂😂😂😂 Kama watu fulani wa mkoa fulani Mr Polepole hawa si weak hawa wana Laana
 
Mama Samia hatuvushi maana hata yeye kama kiongozi hajui anataka nini
 
Tutafiti kwanini hatukupigwa Sana hata ukilinganisha na majirani zetu tu hapo
 
HALOTEL MNABOA MKISHAONA MTEJA ANAJIUNGA NA HUDUMA ZENU MNAANZA KUZINGUA
 
Tutafiti kwanini hatukupigwa Sana hata ukilinganisha na majirani zetu tu hapo
Hilo ndilo lingekuwa jambo la kufanya na huenda ndio ungekuwa mchango wetu wa mwaka kwa dunia nzima. Lakini hili la utafiti haliwezi kupata nafasi sana kama 'speculation'.
 
Hilo ndilo lingekuwa jambo la kufanya na huenda ndio ungekuwa mchango wetu wa mwaka kwa dunia nzima. Lakini hili la utafiti haliwezi kupata nafasi sana kama 'speculation'.
Ni kweli Bro. ..unajua tatizo letu huwa hatupendi ku appreciate mwingine kama kafanya vizuri. .approach tuliyoitumia mwaka Jana nchi nyingi tu zilizo copy idea..na nyingine zilifanikiwa sana. Mfano hata zile machine zilizokuwa zikipima covid. ..zilipopelekewa mapapai zikasema positive, oil zikasema positive kuna nchi za ulaya nazo zilipima kwa style hii hii zikakuta kweli mashine zilikuwa zinadanganya. ..simple chemistry...
 
Hilo ndilo lingekuwa jambo la kufanya na huenda ndio ungekuwa mchango wetu wa mwaka kwa dunia nzima. Lakini hili la utafiti haliwezi kupata nafasi sana kama 'speculation'.
Nadhan tungekuwa na mchango mkubwa Sana kwa Dunia kama unavyosema. ...wananchi wasisahau wakati nchi nyingi zimekuwa na negative growth ni Tanzania pekee iliweza Kuwa na positive growth na ikaingia UCHUMI wa KATI...ni wonders
 
Huyo mjomba angalipo? Kweli kila zama na kitabu chake.

Kumsikiliza ni kupoteza GB bure bora ungeandika kasema je
Inaonekana alikutahili bila ganzi hivyo maumivu yake unayakumbuka😁😁😁😁
Ila najua umemsikiliza kisha unatudanganya hutaki kusikiliza.
Ila pole, yaliyopita si ndwele sasa tugange yaliyopo.
 
Kwenye hizo mashine za kupima huwa mpaka sasa najiuliza maswali na sipati majibu: 1) serikali inaagiza mashine, 2) halafu serikali inapima mapapai...oil ili kuonyesha hazifai...Lengo lilikuwa kuonyesha kampuni iliyotuuzia (kama tulinunua) au nchi hizo mashine zilipotoka au wataalamu wetu (yaani serikali yenyewe) kwamba imenunua au imepokea mashine ambazo zina walakini?
 
Sawa Chawa ProMax uko kazini kutetea kitumbua. Mlamba miguu AKA Bendera fuata upepo
Sote tulikuwa tunamsapoti Hayati JPM kwa hiyo tulikuwa chawa promax wake.....

Ok mkuu sijaanza kuwasemea vyema wenyeviti wa CCM toka 2005 nikiwa mdogo kabisa....

Kwako haya mimi ni chawa wa CCM....

#SiempreCCM
 
Mgombanishwe kwa lipi,Uviko ni swala la dunia nzima na haya mauza uza hapa nchini tatizo linasababishwa na serikali yetu yenyewe kukosa msimamo mmoja kiasi chakuruhusu kila mtu kuongea lake hadharani.
 
serikali yetu yenyewe kukosa msimamo mmoja kiasi chakuruhusu kila mtu kuongea lake hadharani.
Jamani si tumekubaliana serikali iendeshwe kidemokrasia, haki za binadamu, na uhuru wa kutoa maoni!? Iweje tena upinge haki za kutoa maoni!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…