Kabudi yupi mwenye akili huyu wa dawa ya covid19 au mgine?Kabisa, Kabudi ni hazina, hivi propesa Lumumba yuko wapi? Au bado hajamaliza matanga ya Maalim.
Umenena vema mkuu, ujinga ndani ya taifa hili uko viwango vya juu sana, na mleta mada ni kielelezo cha ujinga uliopitiliza ndani ya taifa hili.Sasa katika hili Mpina akajifunze nini kwa Lukuvi au Paramagamba Kabudi?
Akajifunze kuwa chawa, kulamba viatu, kubeba mikoba ya mama?
Akajifunze kukaa kimya wakati nchi ikitafunwa na watawala ili aje kupewa uwaziri?
Yaani badala ya kina Kabudi na Lukuvi kwenda kujifunza kwa Mpina, Mpina ndio akajifunze kwa hao 'mabubu wa kisiasa'? Hii nchi imejaa wajinga wengi mnoo.
Mpina ana viongozi wengi ndani ya CCM na Serikali wanaomuunga mkono.Kwa hiyo ana nguvu ya kisiasa.Huyo mpina ubunge mwakani atausikia kwenye bomba maan aliekambeba kashaenda zake
Ataupata maana Rais kashaujua ukweli aliokuwa anauongeaHuyo mpina ubunge mwakani atausikia kwenye bomba maan aliekambeba kashaenda zake