Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

Doslamari

New Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
4
Reaction score
1,499
Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
 
Watu wanaosemekana wana akili afrika vs watu wenye akili asia. ukisikia wabongo wanamsifu mtu unaweza kuhisia amefanya makubwa kuliko Lee Kuan Yew kumbe basi tu ana kipaji cha kuunga maneno na kutumia terminologies wanazoona za ajabu au takwimu.
 
Sasa katika hili Mpina akajifunze nini kwa Lukuvi au Paramagamba Kabudi?
Akajifunze kuwa chawa, kulamba viatu, kubeba mikoba ya mama?
Akajifunze kukaa kimya wakati nchi ikitafunwa na watawala ili aje kupewa uwaziri?

Yaani badala ya kina Kabudi na Lukuvi kwenda kujifunza kwa Mpina, Mpina ndio akajifunze kwa hao 'mabubu wa kisiasa'? Hii nchi imejaa wajinga wengi mnoo.
 
Umenena vema mkuu, ujinga ndani ya taifa hili uko viwango vya juu sana, na mleta mada ni kielelezo cha ujinga uliopitiliza ndani ya taifa hili.
 
Kama UDSM ni jalalani na vipi kuhusu hizi College za Huku kitaa tuziiteje?
 
Back
Top Bottom