Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

yaani wewe ni bwege la mwaka yaani unajisifia kupangisha foleni watu? utawapangisha mburua kama wewe sisi wenye akili zetu tuko vizuri yaani wewe ni pimbi tu kwangu hunifikii hata robo tangu lini mtumishi wa uma ukajilinganisha na mtu aliyeajiri watu popomatu wewe nautaendelea kulilia maslahi mpaka unakufa na bado ukistaafu utaanza kupanga foleni mafao yaani nakuona kama chizi tu fulani hivi huna mbele wala nyuma mtumishi huwezi kulinganisha na mimi fala wewe
 
Mzee kunywa maji kidogo, mwandiko wako haufanani na mwajiri.

Walioajiri hawashindi na kukesha kwenye mitandao ya kijamii kutukana watu. Wao huingia kwenye mitandao kuelimisha watu.

Kama kweli umeajiri basi utakuwa umeuajiri mdomo wako ili utukane watu.

Jisogeze hapo kwa mama Gaude unywe hata chai ya mkono mmoja upate nafuu.

Na kwa taarifa yako foleni lazima upange na ukiingia tu ofisini nakupangia urudi siku nyingine. Wanyonge your reign is over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTAWAPANGISHA MBURURA WENZIO SIYO MIMI NAWEZA KUKULISHA WEWE NA FAMILIA YAKO NAWATOTO NA NIKITAKA NAWAPIGA MITI VILEVILE
 
Kwamba kupangisha watu foleni nayo ni sifa!?[emoji23][emoji23][emoji23] Wake up bro.

Lazima tusifie hata kwa matumaini tunayopewa awamu hii.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
UTAWAPANGISHA MBURURA WENZIO SIYO MIMI NAWEZA KUKULISHA WEWE NA FAMILIA YAKO NAWATOTO NA NIKITAKA NAWAPIGA MITI VILEVILE
Mzee ukiingia mahakamani, hospitali, shuleni, TRA, TBS, TANESCO, UHAMIAJI, POLICE STATION, nk. Sisi watumishi utatukuta tumejaa huko na foleni lazima upange wewe mnyonge.

Na kipindi hiki wanyonge mtateseka sana. Yaani hadi huruma tunawaonea sema hatuna namna lazima mteseke ndiyo mkakati uliopo na umeshaanza kufanya kazi.

Wanyonge nendeni kwenye kibanda chenu cha mabati mkaendelee kuabudu.

Kwanza kuendelee kubishana na wewe ni kwa vile nina wanyonge nimewapngisha hapo nje kwahiyo kadili unavyojibu wenzio wanateseka hapo nje na huenda na wewe ni miongoni mwao na kama haupo siku ukija wembe ni uleule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba kupangisha watu foleni nayo ni sifa!?[emoji23][emoji23][emoji23] Wake up bro.

Lazima tusifie hata kwa matumaini tunayopewa awamu hii.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Mzee mwenzangu matumaini hayawezi kutulisha. Ahadi haziwezi kunipeleka dukani wala kunilipia bili zangu na hata kuendeleza miradi yangu inayonipa heshima mtaani kwangu kipindi hiki.

Muda huu najiandaa kuandika kwenye kitabu cha kutoka ili niende kwenye miradi yangu.

Mkuu ahadi za wanasiasa haziwezi kunifikisha popote. Nitabadili mwenendo wa kazi wanasiasa wakijua kuwa na mimi nipo nahitaji kuthaminiwa kama wanvyojithamini wao.

Hii dunia hatuishi mara mbili na matumaini hayanipi mkate nyumbani kwangu. Mkate nitaupata kupitia harakati zangu na zimeshaanza kunilipa kuliko hata huo utumishi. Nitaendelea kuwa mtumishi just for security and not more.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la kupongeza watu hili
Endelea kupongeza hadi unastaaf wengine nao wadakie
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] umemaliza mkuu
 
Hata asipoongeza mishahara kwa kipindi chote hiki nanyi mtapata huduma duni hivyohivyo.
Tangu lini mlitupa huduma iliyotukuka? Ndo maana JPM alipowanyoosha tulimuunga mkono
Tumeishazoea kuwaonga,tutawaonga mtuhudumie,wala foleni hatukai.
ila ujumbe ninaokupatia ni huu: Leo upo ofisi ya umma,kesho ni zamu ya mwingine kuwemo ofisini na mwanao atabebeshwa mzigo
tena wa kwake utakuwa mzito sana(Karma).
Asiyeamini ninachokisema akamuulize mzee wa bao la mkono.
 
Akiwezeshwa mtumishi makundi mengine yote yanaambukizwa kwa sbb watz tunabebana mno,,we ar more than extended families
 
msisahau Benki zimetakiwa kushusha RIBA Haswa BENKI yenu ya NMB imeshauriwa ipunguze RIBA kwa watumishi wa umma ili waweze kujikwamua kiuchumi, lkn pia iweke utaratibu wa kuwa kopesha vyombo vya moto yaani magari au pikipiki kwa kuingia mikataba na makampuni yanayo uza magari kama vile wanavyo fanyiwa wabunge.
angalau nia njema inaonekana.
 
Una stress mbaya sana,hakikisha wanao hawa rithi
 
Akiwezeshwa mtumishi makundi mengine yote yanaambukizwa kwa sbb watz tunabebana mno,,we ar more than extended families
Basi tutumie neno mwananchi,badala ya kusema mtumishi. Ninachokiona wote tunamalalamiko sawa ila
wanaoitwa watumishi ndo mabwana,maana wanaoitwa watumishi wanakalia viti vya kuzunguka vyenye sponji,sisi tunaotumikiwa ndo tunapanga foleni juani,
na unaweza ukapanga hiyo foleni siku tatu mfululizo na hiyo haki yako usipate usipojiongeza.
 
Una stress mbaya sana,hakikisha wanao hawa rithi
Ndo maana mimi siyo mtumishi wa umma,nipo tayari kuwapa ukweli,ili mkitaka niwaonge niwe nimeishawapa iliyo haki yenu nyuma ya key board ya komputa.
 
Mfagizi wa ofisi, gardener., Fundi bomber, bwana kilimo, bwana mifugo, askari wa wanyama pori, hawa wanazunguka na viti ofisini ?
 
Survive for the fittest, that is the nature. Hakuna cha karma wala mjukuu wake.

Wakati mnamshangilia madudu ya huyo mwendazake hamkujua kama kuna karma?

Wakati watumishi, wafanyabiashara na wakulima wananyanyasika karma ilikuwa haijazaliwa?

Huu ni wakati wa watumishi na wafanya biashara kula bata. Hata kama hataongeza mshahara tumepata uhuru wa kufanya na mambo yetu.
 
Sifa zote kwa kiongozi bora "THY MAMA"

#YNWA
 
Uko sahihi,ukitumainia madai,akili inadumaa kabisa.
Heri utumie nguvu&muda huo wa kudai kufanya shughuli zingine.
Fanya kazi kwa kadili
ya stahiki zako.
 
Umeongea mambo mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…