Ahsante sana Azam TV kwa kutuonyeshe mechi zote za World Cup 2026

Ahsante sana Azam TV kwa kutuonyeshe mechi zote za World Cup 2026

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Hatuna cha kuwapq Azam Tv, bali tunasema Asanteni sana kwa kutuwezesha kufuatilia mechi zote.
Hakika mmewafanya watanzania na wananchi wote wa Afrika Mashariki na kati wanafurahia huduma ya Azam tv.
Asanteni sana Azam.
 
Kwani ni hisani ile? Si mnalipia huduma? Ndomana mnatawalwa kindezi kwa hizi akili zenu.

#Hallelujah!!!
 
Ile ni huduma master na nimelipia 28,000 hata hivyo ni gharama kubwa sana ilipaswa kuwa angalau 10000 per month
 
Wakenya huwa tunawasema ila wako sahihi. Wakienda dukani wanasema nataka hiki sio sisi tunaomba, wanasema wanalipa kwa hiyo hawawezi kuomba.
Azam wanafanya biashara unalipia halafu unamsifu
 
Back
Top Bottom