Ahsante sana mama Ndalichako!

Alafu kuna watu badoo wana ng’ang’ania kiswahili kifundishwe Kwenye shule zote kutoka nursery adi chuo kikuu .....
 
Na wewe ni profesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani na wewe ni professor

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁
hapana, na ndo maana nasema amenihamasisha sana sababu km profesa haoni shida kuzungumza vile, mimi ni nani na kielimu kangu ka form 4 hadi nione aibu?!!! yaani sasa hivi najizungumzia tu kwa kwenda mbele nikijua kaclip kakunitetea kapo!
 
najua nitachapia, tena sana tu. lakini kwanini niogope sasa wakati wenzangu hawaogopi chochote?
 
sifurahii, nachosema ni kuwa hiyo imekuwa fursa kwangu ya kusonga mbele katika kukijua
 
safi sana
 
Kwa hiyo broken ya Ndalichako umeitumia kama fursa sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…