Ahsante sana mama Ndalichako!

Ahsante sana mama Ndalichako!

Alafu kuna watu badoo wana ng’ang’ania kiswahili kifundishwe Kwenye shule zote kutoka nursery adi chuo kikuu .....
 
Tatizo wabongo wengi wanajua kujua kiingilishi ndo kuelimika! Kuna watu swala la kushika lugha hilo linasumbua ,wengine wanauwezo wa kushika lugha hata tano!.. binafsi kuzungumza hiyo lugha mbele ya kadamnasi ni jaribio la kutaka kunizimisha!![emoji23] Ila leta karamu na karatasi niandike nilichoshindwa kukizungumza mbele ya kadamnasi hutojuta!.
Sisi ndo ambao tukiwa nyuma ya darasa kelele Kama zote! Leta debate niweke mbele ya darasa nizungumze utajuta.. kwanza natafuta kitu cha kushika walau nipate ahueni maana hapo natetemeka Kama mwendawazimu nikikosa Cha kushika sasa hapo jiandaeni kucheka tu maana debate itageuka kuwa kituo kutetemeka!![emoji23][emoji23]
Kiingeleza cha karatasi uliniinua Sana essay zilinikoma ila cha kuongea mbele ya watu umenitesa sana ng'ombe wewe sitakusahau[emoji1787]
Na wewe ni profesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani na wewe ni professor

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁
hapana, na ndo maana nasema amenihamasisha sana sababu km profesa haoni shida kuzungumza vile, mimi ni nani na kielimu kangu ka form 4 hadi nione aibu?!!! yaani sasa hivi najizungumzia tu kwa kwenda mbele nikijua kaclip kakunitetea kapo!
 
Na wewe unahitaji kizungumza kingereza kilicho chini ya kiwango chako? Jiulize maswali yafuatayo.
1, na wewe ni prof
2, Kama prof amezungumza Tena kwa ujasiri hivyo je wewe utachapia kiasi gani na wakati hauna ujasiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
najua nitachapia, tena sana tu. lakini kwanini niogope sasa wakati wenzangu hawaogopi chochote?
 
Kwa iyo unafurahia ujinga, mm wakat nasoma form 2 tulikuwa tunavalishwa bango la speak english, sasa kwa prof kushindwa ku floo english si maajabu tu bali ni maajabu makubwa, et yu wili slip insaidi, nammiss sana jk yule jamaa ni mjanja mjnja lkn yupo vizur sana

Sent using Jamii Forums mobile app
sifurahii, nachosema ni kuwa hiyo imekuwa fursa kwangu ya kusonga mbele katika kukijua
 
Nimekuelewa sana Mkuu hapa tz eti MTU akiongea kizungu sana ndo anaonekana elim ipo sana kumbe ni lugha tu ya kufikisha mawasiliano na sisi hatuitaji lugha zaidi tunaitaji content katika fan yake Leo wachina wanatufanyia miradi kibao na hawajui kiswahili hata kingereza bado kwao ni shida ila content zao ziko vizuri so hakuna sababu ya kumkebehi mtu et kwa sababu hawezi ongea kingereza hata mimi mwaka mmoja nasoma uganda mwanzo nilikua naogopa hata kufanya presentation nikijua kingereza changu kibovu mpaka siku moja prof alipokuja nisifia ndo nikapata confidence na niliendelea kuimprove taratibu
Kinachotoa shida kwanza ni mazingila kwamba lugha yetu ni kiswahili na kingereza tunakizungumza penye sababu mahalum na lugha yoyote ili ikae vizuri lazima uwe unaizungumza kila siku
safi sana
 
Kwa hiyo broken ya Ndalichako umeitumia kama fursa sio?
[emoji16][emoji16]
hapana, na ndo maana nasema amenihamasisha sana sababu km profesa haoni shida kuzungumza vile, mimi ni nani na kielimu kangu ka form 4 hadi nione aibu?!!! yaani sasa hivi najizungumzia tu kwa kwenda mbele nikijua kaclip kakunitetea kapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom