Makala Jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,395
- 1,112
Uzalendo siyo kuwa mtiifu na mwaminifu kwa serikali ya CCM na chama chake.Taifa ni zaidi ya serikali na ndipo wengi wanapokosea kwa kudhani Mwanakijiji akiikosoa serikali si mzalendo bila kutambua kwamba serikali ni zao la chama mathalani CCM kwa Tanzania.