Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Salamu ni utumwa

Nitoe pongezi kwa Viongozi wa Vodacom kwa hisani hii ninayoipata kila wiki bure kabisa ikiwa inaelekea mwaka sasa.

Mungu awabariki sanaπŸ˜‰πŸ˜‰
 
Hi hizi ni zile walizotangazaga kipindi kile sijui ilikua 2017 ile? ulifanya uamuzi mzuri.

Kuna wenye Wivu humu watakuja kuponda na kusema kila kitu kina mwisho🀣.
 
Hi hizi ni zile walizotangazaga kipindi kile sijui ilikua 2017, ile, ulifanya uamuzi mzuri.

Kuna wenye Wivu humu watakuja kuponda na kusema kila kitu kina mwisho🀣.
Mkuu huo mwisho uje tu,hata hivyo nitakuwa nimewafaidi sana,kwasasa naendelea kujipakulia minyama tu,dadeeeeek!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu huo mwisho uje tu,hata hivyo nitakuwa nimewafaidi sana,kwasasa naendelea kujipakulia minyama tu,dadeeeeek!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mda mwingne unajiuliza i ungeweka mzigo mkubwaaa.
 
Mda mwingne unajiuliza i ungeweka mzigo mkubwaaa.
Mkuu sijaweka mzigo wala nini,mi naendelea kula maisha tu dadeeeek na siwasanui hata kidogo.

Siku wakishituka sijui itakuwajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni zile MB na dakika za bure?
kama ni hizo na mimi napata muda mrefu tu, tena kuna muda napata kwa wiki mara 2.
 
Ni zile MB na dakika za bure?
kama ni hizo na mimi napata muda mrefu tu, tena kuna muda napata kwa wiki mara 2.
Mkuu mimi kila siku napewa GB 3 na huu ni Mwaka sasa unaelekea.

Ni mwendo wa kuseleleka kama nyoka tu dadeeeek !!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…