ahsanteni sana jamii nzima ya JF!! HATIMAE NIMEKOMBOLEKA!!!!

ahsanteni sana jamii nzima ya JF!! HATIMAE NIMEKOMBOLEKA!!!!

The Green Village

Senior Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
170
Reaction score
73
Habari zenu wadau? mimi ni mmoja kati ya members wa jf wa muda mrefu!

nimeamua tu kutumia hii id just to reserve my face from stones!

jamani ni hivi, hapo kabla nilikuwa na tatizo kubwa sana la kupiga punyeto! niwe tu muwazi, peer groups ndio ziliniharibu sana!!!

nilianza nyeto nikiwa kidato cha tatu (2008) na mpaka nafika kidato cha sita mwaka 2011/12 nilikuwa bado najipigia tu nyeto bila kujua side effects za hii shughuli! most of my friends were just telling that this reduces sexual feelings! has no more effects!

madhara nilikuja kuyaona baadae, pale nilipokuja kukutana na mdada mmoja.. mmh!! dushe bana likagoma kusimama!!!

heee, si nikaanza kusingizia mara ooh, nimechoka, mara mawazo, mara sijui nini.. wakati nimemuita mwenyeweee na nikamuandaa kwa siku tatu mfululizo nikimuhimiza aje tufanye uzinzi!!!!

basi bana, baada ya mishe kugoma (yani hata condom kuvalika, ilikuwa shughuli!!), nikamuaga nikiwa siriazi kabisa asije akashtukia wikness yangu, nikampa nauli akasepa home!!

basi, nakumbuka kuna siku nilikuwa nazunguka zunguka jukwaa la MMU mara JF doctor, nikakutana na uzi wa jamaa anaepiga nyeto mara tano kwa siku! basi akawa anaomba ushauri jinsi ya kuacha! nilikuwa so much interested kufuatilia wadau walivyokuwa wanachangia sana na kuelezea negative effects za masterbation!!

mmmh.. kwa kweli nilikuwa nasoma post za watu, hasa akina dada, kwa jinsi walivyokuwa wanaponda performance mbovu on bed.. basi dah! mi najishika shika dushe huku naugulia maumivu ya kuaibika gesti!!

kuanzia siku hiyo nilipopitia huo uzi, nilikoma kufanya mapenzi na sabuni bafuni!!.. nilikoma kabisa kuchafua tiles za bafu yetu..!

naomba niishie hapa wadau, ila ukweli ni kwamba, nimejengeka sana kisaikolojia na ki utambuzi toka nijiunge na JF!

HALI YANGU SASA IKO IMARA SANA!! SIFANYI TENA MASTERBATION! DUSHELELE LINASIMAMA KAMA KAWAIDA NA KAZI INAFANYIKA!!

NIMEAMUA KUTOA YA MOYONI.. HATA KAMA NI KWA AID TOFAUTI!

THANKS TO YOU ALL JF MEMBERS!!
 
Hongera kwa ujasiri wako wa kuongea ukweli sasa umekuwa mtu huru.
 
Back
Top Bottom