Ahsanteni sana JamiiForums

:embarassed2::canada: watu bwana mbona mna mdiss kijana wa watu, kajipatia pembe nne zake nyie mpo mnazunguzia ma sentesi yatamsaidia nini? Kijana tangaza ndo usichelewi mi mtu humu itakuwahi, Elimu isiwe tatizo kukutanisha na mkeo mtarajiwa. Ongeraaaaa mwanaume usisikile maneno ya watu...:A S 465::rant:
 




Kwani haya ni maneno ya nani mkuu
 
Hongera ila vuta subra!!!tatizo unaonekana una haraka nae sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…