Ahsanteni sana timu yangu pendwa Croatia

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nilitabiri ya kwamba mngekuwa mabingwa kwasababu niliwaamini tangia mwanzo lakini haikuwa bahati yetu japo mechi yetu na Argentina ilikuwa na makando kando mengi lakini hayo yamepita.

Hongereni kwa nafasi ya tatu,baada ya miaka minne ijayo tutakuwa bora zaidi ya hapa.

Hongereni sana[emoji122][emoji122]
 
Umughaka we miss you mkuu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Jifunze kuwa mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…