UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nilitabiri ya kwamba mngekuwa mabingwa kwasababu niliwaamini tangia mwanzo lakini haikuwa bahati yetu japo mechi yetu na Argentina ilikuwa na makando kando mengi lakini hayo yamepita.
Hongereni kwa nafasi ya tatu,baada ya miaka minne ijayo tutakuwa bora zaidi ya hapa.
Hongereni sana[emoji122][emoji122]
Hongereni kwa nafasi ya tatu,baada ya miaka minne ijayo tutakuwa bora zaidi ya hapa.
Hongereni sana[emoji122][emoji122]