Ahukumiwa Jela Kifungo cha Maisha kwa kumbaka Mtoto wa Miaka 7

Ahukumiwa Jela Kifungo cha Maisha kwa kumbaka Mtoto wa Miaka 7

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam imemhukumu Josephat Joseph Waitara Mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka.

Hukumu hiyo imesomwa Oktoba 01, 2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Mhe. Ngeka baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa kutoka upande wa Jamhuri

Katika kesi hiyo ya Jinai namba 31339/2024 mtuhumiwa anashitakiwa kwa kosa la Kubaka mtoto wa miaka 7, Mshtakiwa alitenda kosa hilo mnamo Septemba 27,2024 huko maeneo ya Toangoma Wilaya ya Temeke

1759387983490.png

Chanzo: ITV
 
Kifungo tu hakitoshi. Anatakiwa alambwe pia na viboko 12 siku ya kwanza tu anaingia gerezani.
 
Waangali na sababu ya mwamba kubaka aisee, huenda ni kibamia wanawake wanamzingua na anaupwiu mazee!...
 
Back
Top Bottom