Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Watalamu wa sheria hii imekaaje, kifungo cha maisha hapo hapo miaka mitano jela hapo hapo faini

Sema mwamba shujaa sana unamvua mwenzio ubigwa mbele za watu

Source Azam tv

 
Ni hukumu stahiki kwake huyo hayawani.
Watalamu wa sheria hii imekaaje, kifungo cha maisha hapo hapo miaka mitano jera hapo hapo faini

Sema mwamba shujaa sana unamvua mwenzio ubigwa mbele za watu


Source Azam tv
 
ukufumania dili na mkeo.ukitaka toa taraka ukitaka tembeza kipigo wewetuu.mwanaume temana nae ok?
 
Bora angemuua tu, maana adhabu ni hiyo hiyo ya maisha. Sasa hivi huyo jamaa ndio atamuoa kabisa
 
Sasa sijaelewa huyo Mngoni wa watu kutoka Ruvuma amekosa nini mpaka kalawitiwa?
 
adhabu zingine zinashangaza sana aise.

mimi sio kumlawiti tu.

nilikua namf…ra,namkata p…mbu nazichemsha nazinywa supu ili wanifunge vizuri.

kut…mbewa mke inauma nyie acheni 🙌
 
Back
Top Bottom