REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Watalamu wa sheria hii imekaaje, kifungo cha maisha hapo hapo miaka mitano jera hapo hapo faini
Sema mwamba shujaa sana unamvua mwenzio ubigwa mbele za watu
Source Azam tv
Dah!Ni hukumu stahiki kwake huyo hayawani.
Mngoni tribeNi mngoni ama mgoni
Labda huyo mgoni ni mngoni wa huko LizaboniNi mngoni ama mgoni
Lowassa bado mzima wa afya ana dunda. Jiwe anabanikwa huko.Kaka Daudi Mchambuzi salama? Za siku tele
Siku zake bado hazijafika.Lowassa bado mzima wa afya ana dunda. Jiwe anabanikwa huko.
Nyauww
Salaam alekum.Kaka Daudi Mchambuzi salama? Za siku tele