Ahukumiwa kunyongwa kwa kumtukana muhammad

Ahukumiwa kunyongwa kwa kumtukana muhammad

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
176282.jpg

SAUDI ARABIA
Mtu huyu alikuwa na mabishano huko Facebook.

Waislamu wengine mtandaoni walimtukana mungu wake wa Kihindu, kwa hivyo yeye, naye, alimtukana muhammad.

Wale aliokuwa wanabishana nar waka screensho maoni yake, wakamripoti kwa mamlaka, akamkamata, na sasa yuko tayari kunyongwa.
 
View attachment 3685652

ok.🐒
 
Ndio habar mnazozipenda hizi
Huwa kinacho nishangaza ni kuwa mtu mlie tayari kuua watu kwa ajili yake, yeye na majeshi yake waliua na kuteka watu wasiokuwa na hatia kwa kuwalazimisha kufata dini yenu

Wengine wakaishia kubakwa na kufanywa watumwa wa ngono, kisa tu dini ifike.

MKa normalize na ku-glorify mauaji na ugaidi ili tu iwe rahisi kuua watu wasioendana na dini yenu

KWELI AKILI YA MWANADAMU NI FUMBO
 
Du huko mudi anaheshimika kweli lakini humu jf mudi ni wa kawaida tu tunambagaza na kumbananga tunavyotaka yeye,wafuasi wake na Allah wao.Nilisema ukishakua muislamu akili zinakimbia kichwani,yaani mnaua mtu kisa mudi
 
Hivi ni vituko duniani, sisi huku Mungu mwenyewe anatukanwa anakashifiwa ila watukanaji hawakamatwi, njemba ziko humu hazimtambui Mungu wala hatu screenshot makashfa yao. kuna yule mwa... anam dis Mungu kila uchao wala hatuna mpango wa kumuadhibu. Ni mambo ya ajabu sana kuadhibu mtu kisa hakubali imani yenu
 
Back
Top Bottom