Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
ok.🐒View attachment 3685652
SAUDI ARABIA
Mtu huyu alikuwa na mabishano huko Facebook.
Waislamu wengine mtandaoni walimtukana mungu wake wa Kihindu, kwa hivyo yeye, naye, alimtukana muhammad.
Wale aliokuwa wanabishana nar waka screensho maoni yake, wakamripoti kwa mamlaka, akamkamata, na sasa yuko tayari kunyongwa.
Huwa kinacho nishangaza ni kuwa mtu mlie tayari kuua watu kwa ajili yake, yeye na majeshi yake waliua na kuteka watu wasiokuwa na hatia kwa kuwalazimisha kufata dini yenuNdio habar mnazozipenda hizi