AI(Akili bandia) kwa sasa itakuja kuchukua huduma ya huduma kwa wateja na kuondoa ajira

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mnaofanya kazi kitengo cha huduma za wateja mtafute kazi nyengine sasa.

AI wanakuja na mpango wa kutengeneza huduma kwa wateja ambao watatuliwa matatizo ambayo kama kwa njia software itakuwa haraka na kama litakuwa linaitajika kwa binadamu basi watakuwa wanakumbushwa.

Teknolojia hii Ai huduma kwa wateja itaweza kuzibiti uzembe mkumbwa wa matumizi ambayo sio mwanadamu.

Sipati picha JF moderator
 
kuna watu wanadai AI inatupumbaza tu, hawaamini kwenye AI revolution, kitu US anawekeza 500B USD investment
 
Mitandao ya simu pia wameweka hayo madudu kwenye page zao kwenye mitandao ya kijamii yote.

Voda ndio hawacheki na wowote hata kuongea na muhudumi ukipiga 100 ni kipengele.

Ubaya wa AI bado hawajazijaza taarifa nyingi ili kutatua matatizo ya wateja, na nadhani yanaelewa zaidi kingereza, ukiandika kiswahili basi tatizo lako kutatuliwa inachukua muda labda mpaka muhudumu aingilie kati.
Huduma kwa wateja NMB kupitia wasap namba yao nadhan wameweka maroboti yao,yaani ukiuliza maswali yanajibu tofauti na unachohitaji kusaidiwa wafanye maboresho au yaondolewe wabaki watu hayana msaada
 
Technology will not take people jobs, but will transforms those jobs.

Muhimu ni watu kuadopt na hizo technology, Mfano Nitashangaa sana kuona still watu wanatumia Google ku search info instead of Chartgp

Hii inamaanisha watu hawaja adopt
 
TANESCO wana robot mzuri sana kwenye kupokea taarifa za wateja. Tumà tu neno HI kwenye whatsapp na utapata huduma ya kutoa taarifa
 
Halafu kuna mtu anadhani hayo maroboti yata chukua nafasi ya binadamu, bado sana kiukwel robot n roboti tu

mfano unafika ktk mgahawa au baa unakuta kifaa mezani unabonyeza unaagiza unachohitaji mara kidogo linakuja robot linakuletea vile vitu ulivyoagiza alafu linakukaribisha kwa ukarimu na upendo

mfano mwingine unafika hospitali linakuja robot linachukua damu yako linaondoka, likirudi linakuja na majibu ya vipimo na dawa

kali zaidi, ipo midoli mahususi kwaajiri ya ngono inakatika balaa, na inatoa miguno ya kimahaba na inaweza kuongea lugha yoyote kichina, kimakonde nk
 
yule roboti wa pale bungeni bado yupo au amekufa?
ushauri tu, kukiwa hamna vikao bungeni angewekwa ikulu naye awe kati ya washauri wa rais
 
Halafu kuna mtu anadhani hayo maroboti yata chukua nafasi ya binadamu, bado sana kiukwel robot n roboti tu
Ni swala la muda tu, soko la ajira litahitaji watu wachache saaana. Ila pia mazingira yatajishape kuendana na mabadiliko, nadhani mbeleni dunia itahitaji kupunguza more than 50% of residual population 😀😀😀 Afirika tupewe tu sayari yetu
 
Ukiwaambia watu ni wabishi ,AI ya mwaka 2025 waangalie 2030 na wakubwa washaingia kwenye mashindano...Chukulia hizi katuni sasa zinachora dk kadhaa wakati huko nyuma ilikuwa watu wanatoza zaidi ya 5k kuchora kwa adobe.

Hizi za Gribli halafu kuna mpaka animation kwa wanalipia account za AI.
 
Mnaofanya kazi kitengo cha huduma za wateja mtafute kazi nyengine sasa.

AI wanakuja na mpango wa kutengeneza huduma kwa wateja ambao watatuliwa matatizo ambayo kama kwa njia software itakuwa haraka na kama litakuwa linaitajika kwa binadamu basi watakuwa wanakumbushwa.

Teknolojia hii Ai huduma kwa wateja itaweza kuzibiti uzembe mkumbwa wa matumizi ambayo sio mwanadamu.

Sipati picha JF moderator
Bora maana unakuta mtu anafanya huduma kwa wateja lakini hana uelewa na huduma zinazotolewa na kampuni. Una shida unamweleza hajui kuhusu kitu hicho na unajaribu kumwelewesha labda akusaidie anakubishia aisee!
 
Robot n robot tu, kuna
mfano unafika ktk mgahawa au baa unakuta kifaa mezani unabonyeza unaagiza unachohitaji mara kidogo linakuja robot linakuletea vile vitu ulivyoagiza alafu linakukaribisha kwa ukarimu na upendo

mfano mwingine unafika hospitali linakuja robot linachukua damu yako linaondoka, likirudi linakuja na majibu ya vipimo na dawa

kali zaidi, ipo midoli mahususi kwaajiri ya ngono inakatika balaa, na inatoa miguno ya kimahaba na inaweza kuongea lugha yoyote kichina, kimakonde nk
 
mfano unafika ktk mgahawa au baa unakuta kifaa mezani unabonyeza unaagiza unachohitaji mara kidogo linakuja robot linakuletea vile vitu ulivyoagiza alafu linakukaribisha kwa ukarimu na upendo

mfano mwingine unafika hospitali linakuja robot linachukua damu yako linaondoka, likirudi linakuja na majibu ya vipimo na dawa

kali zaidi, ipo midoli mahususi kwaajiri ya ngono inakatika balaa, na inatoa miguno ya kimahaba na inaweza kuongea lugha yoyote kichina, kimakonde nk
😳😳😳🤣🤣
 
Back
Top Bottom