Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee.
Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi.
Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana na watu wataalamu ili majibu yawe na uhakika.
Tufanye kama enzi za google tu na wikipedia unaambiwa usijitibu mwenyewe kutumia kugugo. Na AI sio mbadala wa kila taarifa mazee.
JE tumejiandaaje kuwa men in the loop wenye akili.