Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ndugu mheshimiwq, tafadhali taja mfano wa ajira zitakazozalishwa kutokana na AIAI haitopoteza ajira, ajira nyingi mpya zitazalishwa kutokana na AI. Folks, I wonder why your minds are so limited in this!!
Ahsante sana ndugu mheshimiwa kwa maelezo mazuri, kumbe you believe in future, but without relevant evidence!! Great 👍Dunia ina evolve, fursa utaziona tu AI ikianza ku-take over kama ilivyokuwa kwa industrialization watu walipoteza kazi machine/viwanda zilipokuwa introduced lakini leo utaona kuna ajira nyingi mno zimetokea tangu kuanzishwa kwa machine/viwanda
Humans always adopt to their environment wakati ukifika hata wewe utaziona fursa, usitake mimi nkutajie
Pathetic!Ahsante sana ndugu mheshimiwa kwa maelezo mazuri, kumbe you believe in future, but without relevant evidence!! Great 👍
Ni kweli. Kuna kazi zitakuwa replaced na zingine zitakuwa created. Kinachotakiwa ni kuwekeza katika kazi ambazo hazitakuwa replaced kama vile communication, counselling, etc. Skills zinazotakiwa ni digital skills, communication skills, negotiation skills, critical thinking (ambayo hapa kwetu haitiliwi maanani au inapuuzwa), problem-solving, collaboration. Kwa kifupi tunatakiwa tuwekeze kwenye soft, employability na 21st century skills.AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee.
Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi.
Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana na watu wataalamu ili majibu yawe na uhakika.
View attachment 3066441
View attachment 3066442
View attachment 3066443
View attachment 3066444
Tufanye kama enzi za google tu na wikipedia unaambiwa usijitibu mwenyewe kutumia kugugo. Na AI sio mbadala wa kila taarifa mazee.
JE tumejiandaaje kuwa men in the loop wenye akili.