T TensorFlow JF-Expert Member Joined Feb 11, 2020 Posts 1,079 Reaction score 1,376 Sep 25, 2026 #1 Habari watu wa humu, Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania. tf.
Habari watu wa humu, Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania. tf.
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Sep 25, 2026 #2 Itumie hii kama idea Unaweza kutumia AI na ukaunda mwenyewe na ukatengeneza app na ukatengeneza pesa Unikumbuke katika mgao
Itumie hii kama idea Unaweza kutumia AI na ukaunda mwenyewe na ukatengeneza app na ukatengeneza pesa Unikumbuke katika mgao
N neno ni upanga JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 727 Reaction score 2,421 Sep 25, 2026 #3 Mimi natafuta app ambayo inaweza kugeuza video ya kiingereza kuwa ya kiswahili! Kwa maana anayeongea kisikike kiswahili! Badala ya lugha yake
Mimi natafuta app ambayo inaweza kugeuza video ya kiingereza kuwa ya kiswahili! Kwa maana anayeongea kisikike kiswahili! Badala ya lugha yake