AI /CHAT GPT gani ni free kwene IOS /iphone?

Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free?

Hii ninayoijua ni ya kulipia ila ni free kwene browser



ZINGINEZO

1.https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-artificial-intelligence-whatsapp-chat-bot.2180158/
Download kupitia app store. Kuna app ya chatgpt
 
Mnapendeaga nn hya makitu yenye full limitation wakati watu wenyewe twajijua tunapenda kitonga kupita kiasi!!
Kama shida yako ni camera na social media basi bado hujaitumia iphone, it more than that. Suala la limitation ni kwenye customization tu, lakin other function zipo vizuri.

Speaking from user anaetumia android na ios at the same time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…