Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tayari, sikiliza Keynote ya juzi WWDC24 Apple wanavozindua iOS18Nyie daah had lini sasa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari, sikiliza Keynote ya juzi WWDC24 Apple wanavozindua iOS18Nyie daah had lini sasa mkuu
sasa mbona mm sizioniTayari, sikiliza Keynote ya juzi WWDC24 Apple wanavozindua iOS18
Umeupdate iOS18?sasa mbona mm sizioni
Mnapendeaga nn hya makitu yenye full limitation wakati watu wenyewe twajijua tunapenda kitonga kupita kiasi!!hii kwa iphone haipo mkuuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sema unatafuta 'akili' ya bure.
Hamna update yyteUmeupdate iOS18?
usicheke kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siku ukitumia iphone miezi 6 hutataka simu nyingineMnapendeaga nn hya makitu yenye full limitation wakati watu wenyewe twajijua tunapenda kitonga kupita kiasi!!
Download kupitia app store. Kuna app ya chatgptWakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free?
Hii ninayoijua ni ya kulipia ila ni free kwene browser
ZINGINEZO
1.https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-artificial-intelligence-whatsapp-chat-bot.2180158/
Ipo mkuu mm natumia currentlyhii kwa iphone haipo mkuuu
Kama shida yako ni camera na social media basi bado hujaitumia iphone, it more than that. Suala la limitation ni kwenye customization tu, lakin other function zipo vizuri.Mnapendeaga nn hya makitu yenye full limitation wakati watu wenyewe twajijua tunapenda kitonga kupita kiasi!!
Ata Beta tu huna...Ha
Hamna update yyte
kaka hizi simu mqmbo mageni ingawa nimeitumia miaka 2Ata Beta tu huna...
View attachment 3016147
Subiri kidogo yenyewe stable hadi Sept aanavyotoa iPhone mpya.