Ngoja kwanza bRaza hiyo laki unatumia kwa matumizi ya kula tu au.Abarikiwe aliebuni hiyi kitu, wale
Wa vizinga tangazo sasa nimempata mkemwema,
Nililizwa Sana nikaamin mapenzi ni pesaa
Kumbe nilikuwa napata Malaya Malaya nikajua napendwa kumbe zinapendwa pesa
Kweli filisika tuone tabia za mpenzi wako
Sasa naaman sipitii bar tena kungoja alale saiz mpaka kazini naona muda ni mwingi wakati zamani nilimuomba boss aongeze muda nitoke jioni
Pesa ilikuwa haitoshi beby wigi, beby mama anaumwa, beby tumbo linagesi beby bando
Saiz aah laki inakaa mwezi mzima
Kwa huo mwandiko unajifunza kitu gani mkuu kama sio ujinga tu?Ngoja kwanza bRaza hiyo laki unatumia kwa matumizi ya kula tu au.
Maana nataka kujifunza hapa
Heading na ulicho kiandika ndani ya uzi ni vitu viwili tofauti kabisa.
hela hazitafutwi dogoTafuta hela mkuu