AI imekuwa tishio kwao wakati wameunda wenyewe

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Teknolojia AI kwa sasa inataka kuwazidi waliounda. Kuna sera na sheria zitapitishwa kuzibiti kikomo cha uwezo ili kusaidia makampuni ya software na n.k kufanya biashara.

AI zenye uwezo mkubwa na kusaidia AI ndogo zote zinatoka USA.

Kuna mpango wa kuzibiti AI kuwa na nguvu ndani USA tu sio nje ili msiweze kuwazidi.

Ila wamechelewa sababu source code zake zipo teyari. Kinachowapa watu tabu gharama ya vifaa vyenye uwezo mkubwa.
 
wafanye watachofanya sie tutabamba na AI ya mchina
 
Back
Top Bottom